VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Asema mtoto wake, mwenye umri wa miaka mitatu. mpaka sasa ana tatizo la viungo vya mwili, ikiwemo mifupa kutokomaa.
Toka anaanza kula, amekuwa akitumia mpira. Kwa maelezo yake, ni kwamba ukimusogezea chakula karibu na mdomo, au awapo na njaa, hukuonyesha mpira huo alowekewa.
Huu ni uzembe wa wizara ya afya
Toka anaanza kula, amekuwa akitumia mpira. Kwa maelezo yake, ni kwamba ukimusogezea chakula karibu na mdomo, au awapo na njaa, hukuonyesha mpira huo alowekewa.
Huu ni uzembe wa wizara ya afya