Msemaji mkuu wa jeshi la DRC, atangaza kutohusika kwa jeshi hilo na vitendo vya FARDC

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Gen Maj Sylvain Ekenge Bomusa, msemaji mkuu wa jeshi la DRC, katika mahojiano na waandishi wa habari, jijjini Kinshasa, ameulizwa kuhusu vitendo vya kikatili wanavyotuhumiwa kundi la Wazalendo. Amekili kwamba ni kweli watu hao wanatambulika kama wasaidizi wa jeshi la serikali hiyo, lakini hawapo chini ya jeshi hilo, hivyo, vitendo wanavyotuhumiwa wawajibishwe wao wenyewe, na si jeshi la serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…