VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Gen Maj Sylvain Ekenge Bomusa, msemaji mkuu wa jeshi la DRC, katika mahojiano na waandishi wa habari, jijjini Kinshasa, ameulizwa kuhusu vitendo vya kikatili wanavyotuhumiwa kundi la Wazalendo. Amekili kwamba ni kweli watu hao wanatambulika kama wasaidizi wa jeshi la serikali hiyo, lakini hawapo chini ya jeshi hilo, hivyo, vitendo wanavyotuhumiwa wawajibishwe wao wenyewe, na si jeshi la serikali.