VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,494 Reaction score 1,466 Aug 28, 2025 #1 Moto uliozuka leo Bukavu na kuunguza nyumba na bidhaa za kibiashara, Rwanda imetuma kikosi chake cha zimamoto kutoa msaada, jambo lililowafurahisha wakazi wa mji huo na kudai ni matunda ya ujirani mwema.
Moto uliozuka leo Bukavu na kuunguza nyumba na bidhaa za kibiashara, Rwanda imetuma kikosi chake cha zimamoto kutoa msaada, jambo lililowafurahisha wakazi wa mji huo na kudai ni matunda ya ujirani mwema.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,976 Reaction score 1,252,370 Aug 30, 2025 #2 Hatari sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,707 Reaction score 198,176 Aug 31, 2025 #3 Pole yao sana... Cc: Mahondaw