VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Moto uliozuka leo Bukavu na kuunguza nyumba na bidhaa za kibiashara, Rwanda imetuma kikosi chake cha zimamoto kutoa msaada, jambo lililowafurahisha wakazi wa mji huo na kudai ni matunda ya ujirani mwema.