Mikoa inayoongoza kwa kiwango cha maambukizi ya VVU Tanzania

Mikoa inayoongoza kwa kiwango cha maambukizi ya VVU Tanzania

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,567
Reaction score
5,983
Kulingana na Tanzania HIV Impact Survey (THIS) 2022/2023, kiwango cha maambukizi ya VVU kwa watu wazima wenye umri wa miaka 15 na zaidi kilikuwa kama ifuatavyo:

1. Njombe -12.7%
2. Iringa - takriban 11.1%
3. Mbeya - takriban 9.6%

Kwa ujumla, Njombe, Iringa na Mbeya ndizo zilizokuwa na viwango vya juu zaidi, huku Njombe ikiwa juu kwa 12.7%.

Wastani wa kitaifa: 4.4%
• Tanzania Bara - 4.5%
• Zanzibar - 0.4%
 
Manyara ndio mkoa wenye kiasi kidogo cha maambukizi ya ukimwi (less than 4%) baada ya lindi kwa Tanzania bara, na kwa ujumla ni wa 3 baada ya znz na lindi..nyie ambao dada zenu hawagai hovyo ndio namba zipo juu😂
 
Back
Top Bottom