Mapenzi yanavyotafsiliwa kwa baadhi ya watu. Hakuna hela humo.

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Ngono si mapenzi, kwenda kwenye miadi si mapenzi, kuzungumza na mtu kila wakati si mapenzi, wala kukesha usiku kucha kwa ajili ya mtu si mapenzi.Mapenzi ni pale mtu anapokuona kwa udhaifu wako wote na bado anachagua kukupenda. Ni mtu anayekufanikishia mambo unaposhindwa, anayekushika na kukutuliza wakati machozi yanakutiririka. Ni mtu anayezungumza mazuri yako yote hata unapojiona hauna thamani. Ni mtu anayehakikisha uko salama, anayekuwaza kila siku na kila usiku. Ni mtu anayejitolea kila mara kukujenga na kukujaza upendo. Hayo ndiyo mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…