View attachment 3350698
View attachment 3350782
View attachment 3350800
View attachment 3350802
Ikiwa Burundi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu, siku zisizofikia hata wiki, ndo orodha ya wagombea, chama chao na makabila yanawekwa wazi. Ikumbukwe, vyama vya upinzani, vilikataliwa kwa kinachoitwa kutokidhi vigezo.
Kinachoendelea Burundi, na sawa na kilichokuwa kikiendelea nchini Rwanda miaka ya 1957 mpaka 1994. Rwanda na Burundi ni kama nchi pacha, kila kitu kiko sawa, kasoro lafudhi na badhi ya maneno tu.
Pichani, ni watoto wa shule za msingi kila kona ya nchi, zoezi kama hili la kuwaandaa kuwa wafuasi wa chama tawala zinaendelea. Watoto hawa, ni kuanzia miaka 7 hadi 17; na ni lazima si hiari kwa watoto wote wa jamii ya wahutu nchini humo.
View attachment 3350747
View attachment 3350758
View attachment 3350763
View attachment 3350766
View attachment 3350770
Wanawake nao wamoooo
View attachment 3350773