VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Kwenye Mahusiano,
kuna vitu vitatu iitakavyomfanya mwanaume uliyenaye akuache mapema:
1. UONGO,
2. DHARAU sa
3. USALITI.
Ukitaka mwanaume wako aanze kufikiria kuondoka kwako mdanganye kila mara, mdharau kila mara na um-cheat hata mara moja tu. Uvumilivu wake kwako utaishia hapo.