VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Mtumiaji wa X, alieandika ujumbe, kuwa mchungaji ni mtumishi wa shetani si wa Mungu, ataarifiwa kuwa Ofisi ya kushughulikia makosa ya jinai nchini, inachunguza kauli yake kama ni sehemu ya kosa kisheria, ili afunguliwe kesi. Inawezekana mtumishi aliesemwa mwenyewe akashitaki, au chombo husika kikaamua kumfuatilia pasipo msemwaji kulalamika.
Uhuru wa kujieleza, zerooooo