Kauli ya rais wa Rwanda ya "Funga mkanda", yaja na mengi

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Huko bungeni Rwanda, uongozi wa shirika la serikali la kukusanya mapato(RRA/ Rwanda Revenue Authority) limekuja na mapya. Ni baada ya wawakilishi wa shirika hilo, kupendekeza adhabu ya kifungo kwa wasiolipa kodi.

Hata hivo, wabunge wameonyesha kutofurahia kauli hiyo na kusema hawapo tayari kupitisha sheria hiyo, kwa sababu, mfanyabiashara, ana njia nyingi sana za kumuadhibu, tofauti na kuongeza idadi ya wafungwa magerezani, huku serikali bado inaangalia uwezekano wa kupunguza hata waliopo jera.

Wabunge hao wamesema, ikiwa mfanyabiashara atatozwa faini, hili hupunguza faida yake, na akiona atapata hasara, lazima atalipa tu.

Biashara nyingi Rwanda, hazijakaa vizuri, na haijalishi unafanyakazi au la, utalipa tu. Kufungua TIN namba, rahisi, ni kitendo cha masaa yasiyozidi 6, kama imechelewa. Ila kufungwa, sahau.



Ngayo nguko. Ubuyobozi bwa Rwanda Revenue Authority, buratanga icyifuzo cyo kuba abadasora bajya bafungwa. Ubwo ni ukuvuga ko hari ubwo no kwishyura byanga burundu.

Ariko se, wakwishyura ibyo utabonye? Cyane ko hari benshi business zanze, badakora, ariko amande akaba atajya abura kubarwa!!!
 

Attachments

  • Ikigamijwe si ukongera abafungwa, ikigamijwe ni ukongera iyubahirizwa ry'amatege.mp4
    16.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…