Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".
Ripoti mpya imeonyesha kuwa serikali za Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta zilikuwa na kiwango kikubwa zaidi cha matumizi ya umma yaliyowekwa alama na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ikilinganishwa na utawala wa sasa wa William Ruto.
Kwa mujibu wa takwimu zinazohusu matumizi ya serikali kati ya...
Wapo kwa sasa mawakili wako wengi wanapata nafasi ya kuzungumza na wewe hivyo nawaomba wakufikishie ujumbe huu.
Umekaa ndani ya kuta za magereza ya mwaka mmoja na nusu, na kwa kipindi chote hicho umepambania uhuru wako mwenyewe na kwa msaada wa mawakili wasomi wenzako wakikupa ushauri na...
Nashangaa mtu anasema wakatoliki sijui wamekuwaje lakini in short hawa watu wamenyooka kama rula hawataki bla bla.
Viongozi wakikatoliki.hata kama utawapa nchi waiongoze mtapiga hatua hadi mkashagaa, ndio maana wanajiamini kupita kiasi
Labda blabla uzilete wewe na ukizileta kwao wanakupiga...
Morogoro danguro kubwa pengine lipo kwenye top 10 za madanguro maarufu Tanzania linaloitwa Kahumba lipo karibu kabisa na ofisi za CCM wilaya.
Moshi kuna danguro karibu na ofisi kuu ya ccm.
Mwanza nyuma ya uwanja wa CCM Kirumba.
Mbeya pia danguro moja lipo hatua chache kutoka ofisi za CCM...
Naomba ujumbe uwafikie Polisi Tanzania hasa Mkoa wa Shinyanga, kumekuwa na matukio ya wizi sana majumbani, taarifa zinafika Polisi, RB na Mpelelezi unapewa lakini hakuna kinachoeleweka.
Matukio badala ya kupungua yanaongezeka, mfano Mtaa wa Majengo Mapya tunaibiwa sana na vitu havipatikani (TV...
Anonymous
Thread
hatua
maeneo
mengi
mfano
shinyanga
umeongezeka
wizi
Wana JF, naomba mnivumilie kwa dakika chache. Kwa kweli nimefika kipindi ambacho hata kupata maneno ya kuelezea hali yangu imekuwa changamoto.
Nimefiwa na baba yangu. Hili ni pigo ambalo si rahisi kulikubali wala kulizoea. Kuna pengo ambalo halizibwi kwa maneno, kuna kumbukumbu ambazo zinabaki...
Nimeshtuka sana philosophy za miaka ya kale ku exist mpaka miaka hii,
HAKIKA DUNIA NI YA ZAMANI SANA NA SISI WOTE HATUNA CHETU TUNAJIMWAMBAFAI BURE KABISA!
Unajua moja ya kitu ambacho wanawake wengi hujizima data ni vile hawajui kuwa wanaume tuna hustle na kutafuta maisha kwa ajili yao.
Wanawake, ni moja kati ya viumbe vilivyo pendelewa sana. Ukitoa kazi ya kuzaa hawana kazi kubwa kama wanaume. Wao ni kupokea na si kutoa.
Kinacho haribu...
Mahakama ya Chelstone (Chelstone local Court ) jijini Lusaka, Zambia, imevunja ndoa ya Trevor Banda mwenye umri wa miaka 36 na Loveness Mukwato mwenye umri wa miaka 27 baada ya wanandoa hao kushutumiana kwa uzinzi na kushindwa kuelewana katika ndoa yao.
Katika kesi hiyo, Loveness aliiomba...
Nilisha wahi kuwaza kutoweka
Kuna kipindi hata kuiona kesho ilikuwa jambo la kheri, maana nilitamani nikienda kulala nisiamke kabisa.
Nikiona watu wanaishi as if hakuna shida nawaonea huruma na kuwaombea asije pitia niliyo ya pitia maana wasingeweza kutoka.
Kuna watu wana tembea ila huwezi...
"Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo.
Ubinafsi umeshamiri, ufujaji umeshamiri. Na karibu misingi yote ya maadili hakuna anayeihangaikia tena. Ni kweli kanisa linatambua kwamba tunapaswa kutembea katika misingi ya uadilifu na kanisa linahubiri na...
Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia.
Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza wanyama wanono na wanawake wazuri. Mungu akakasirika sana akamfuta kazi Sauli na kumpa ufalme Daudi.
Je...
Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi" lenyewe na anaeleza jinsi alivyowaita hivyo na jinsi alivyopigwa vita.
Mengi anaandika 2006 gazeti lake la Alasiri na The Citizen lilifanya uchunguzi likagundua kampuni...
Angalizo: Zingatia alama ya kuuliza. Ndugu msomaji usitoe hukumu na kuwachafua watu.
Hili ni swali siyo tamko (declaration).
Anaandika mdau wa kuitwa Diplomacy Arena:
Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.