Je, ombi la waandamanaji nchini France, litafikiwa?

Je, ombi la waandamanaji nchini France, litafikiwa?

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,568
Reaction score
5,983
🇫🇷 Waandamanaji nchini Ufaransa wataka Frexit na kusitishwa kwa makabiliano na Urusi

Wafuasi wa vuguvugu la Les Patriotes wamefanya maandamano mjini Paris, wakidai Ufaransa ijiondoe katika Umoja wa Ulaya na NATO, Emmanuel Macron ajiuzulu, na msaada wa kijeshi na kifedha kwa Ukraine usitishwe.

Pia wametaka kurejeshwa kwa mazungumzo na Urusi pamoja na kukomeshwa kwa kile kinachotajwa kuwa ni hatua za Ufaransa kuelekea vita na Moscow.
 
Back
Top Bottom