Huko New Zealand, inasemekana ni nchi ambayo, kondoo ni wengi kuliko raia. Nchi hii ina watu milioni 5.3. Lakini ina kondoo milioni 23.6. Ni kama kila mtu ana kondoo 4.5
Kondoo nchini humu ni uti wa mgongo wa nchi hii, kutokana na uuzaji nyama na manyoya ya wanyama hawa.