Idadi ya kondoo yazidi idadi ya raia, New Zealand

Idadi ya kondoo yazidi idadi ya raia, New Zealand

Willy NGOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,565
Reaction score
5,983
Huko New Zealand, inasemekana ni nchi ambayo, kondoo ni wengi kuliko raia. Nchi hii ina watu milioni 5.3. Lakini ina kondoo milioni 23.6. Ni kama kila mtu ana kondoo 4.5

Kondoo nchini humu ni uti wa mgongo wa nchi hii, kutokana na uuzaji nyama na manyoya ya wanyama hawa.
 
Back
Top Bottom