Hatua ya kwanza ya kutengeneza kizazi bora ni “Kuchagua mke bora”

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Chagua mke ambaye:
-Atakuwa mlezi bora wa watoto wako
-Atakuwa mwalimu na mwongozaji mwema wa watoto wako.
Watu wengi maarufu na mashujaa, hawakuwa hivyo kama matokeo ya ajali, bali ni msingi imara wa familia zao.


Leo hii mtu unaenda baa, unaokota mwanamke, kisa anajua kukata viuono, ndoa inaanza hapo hapo. Baada ya wiki, vurugu zinaanza, tayari mjamzito, haendi popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…