Hasa wale tuliotokea familia za kawaida na za chini,
Umehaso kupata pesa, umeombwa pesa na unaitoa ukidhani inaenda kumnyanyua mwengine kumbe inaenda kuchomwa kwenye starehe, ulimbukeni, michezo, n.k.
Nilipofika miaka 26 kuna upepo fulani hivi wa neema ulinipitia, nikajikuta nimevuta kagari...
Wakuu, leo nimeamua kuweka kila kitu wazi bila chenga wala uoga. Najivuna, nimeamka, na sina muda wa kujishusha mbele ya watu waliokuwa wananihesabia nuksi.
Kipindi nikiwa sina kitu, napita mtaani mfuko mtupu, unaweza kumsalimia mtu akakutazama kama umemletea deni, Anapita zake kama hajaona...
Utachukua hatua gani ndugu yako, mume/mke, jirani au rafiki akikuambia mungu amemuambia amtoe sadaka/kafara mtoto wake na kweli anakusadia kwenda kumtoa mtoto wake sadaka kutimiza agizo hilo ?
Wanaukumbi.
Gadi Eisenkot, ambaye anashiriki mazungumzo ya kuunda serikali mpya nchini Israel, amesema haoni haja ya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran kwa sasa.
Gadi Eisenkot, ambaye aligombea nafasi ya Waziri Mkuu, amesema katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika bunge...
Kwanini madaktari waruhusiwe kuwaingiza vidole ukeni wanawake eti wanawapima? Hivi hatuna vipimo vingine vya kisasa zaidi ya hii "Two fingers test"?. Unakuta binti amebakwa unampeleka hospitali naye Daktari anamuingiza vidole ukeni eti anampima kama ameingiliwa. Sasa najiuliza huyu binti atakuwa...
Katika kuimarisha nidhamu ya kazi, uwazi na uwajibikaji katika utoaji wa huduma za sekta ya Ardhi, Serikali imeendelea kuchukua hatua dhidi ya watumishi wanaokiuka taratibu na kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuwaingiza wananchi katika migogoro na changamoto za umiliki wa ardhi.
Akizungumza...
Yani una vipesa vyako vya mawazo
unapewa mimba ya mhuni mmoja, aliye ikataa kijanja😅
Asee mazumbuku kuku wa kusingiziwa mimba wabaki hao hao ni sio vijana wenye akili timamu gademitt 😅
Habari zenu wadau,
Katika hali ya kawaida ya maisha ya sasa, kipimo cha maendeleo kinatazamwa kwenye vitu vya msingi na vya kisasa; kama vile uhakika wa kula na kuvaa vizuri, kulipa kodi bila presha, kumiliki kiwanja au nyumba, kuwa na biashara imara, kusomesha watoto, na kuwa na vitu vizuri...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Tanzania inaingia katika hatua muhimu ya maamuzi ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya kuunda Tume ya Taifa ya Maridhiano na Usuluhishi ili kuweka misingi ya kufanyia marekebisho Katiba ambayo iliahadiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM...
Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
BIMA YA AFYA KWA WOTE NI WAKATI WA KILA MTANZANIA KUCHUKUA HATUA KULINDA AFYA NA UCHUMI WA FAMILIA YAKE
Na GULATONE MASIGA
Kuna mambo mengi ambayo mwanadamu anaweza kuyapanga katika maisha yake, lakini si rahisi kupanga siku atakayougua, aina ya ugonjwa utakaomkabili wala gharama atakazohitaji...
Wanaukumbi.
🇺🇸 Thomas Massie amewasilisha hoja ya kumshtaki (impeach) Pete Hegseth kuhusiana na vita dhidi ya Iran.
Anamtuhumu Hegseth kwa kuanzisha vita bila idhini ya Bunge, kukiuka kanuni za ulinzi wa raia, na kulipiza kisasi dhidi ya wakosoaji wake.
Mashtaka hayo yanahusu pia operesheni...
Naomba ujumbe uwafikie Polisi Tanzania hasa Mkoa wa Shinyanga, kumekuwa na matukio ya wizi sana majumbani, taarifa zinafika Polisi, RB na Mpelelezi unapewa lakini hakuna kinachoeleweka.
Matukio badala ya kupungua yanaongezeka, mfano Mtaa wa Majengo Mapya tunaibiwa sana na vitu havipatikani (TV...
Anonymous
Thread
hatua
maeneo
mengi
mfano
shinyanga
umeongezeka
wizi
Tabia ya baadhi ya wamiliki wa nyumba kuweka vipande vya chupa za soda au bia juu ya kuta za uzio kama njia ya kuzuia watu kuingia kwenye maeneo yao. Ninaona utaratibu huu unaweza kuwa hatari kwa usalama wa wananchi, hasa watoto, na sasa kuna tukio limetokea katika familia yangu ambalo...
Anonymous
Thread
chupa
hatua
kuchukua
kuchukua hatua
miaka
miaka 10
mitaa
mtoto
mtoto wa
serikali
serikali za mitaa
ukuta
▪︎ Akemea wananchi kunyimwa huduma kwa kukosa miadi
▪︎ Ataka wagonjwa wa dharura wahudumiwe mara moja
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua za kufanya bei ya saruji kuwa himilivu kwa kuondoa kodi kwenye saruji inayoagizwa kutoka nje na malighafi zinazotumika...
Kuna stage tatu ambazo hutumika kuharibu nchi yoyote mtu mwenye Nia ya kuharibu nchini anatumia stage tatu tuisome Tanzania ya tarehe 29 Oktoba 2025 kama case study.
Nchi haihitaji kuvamiwa na jeshi la kigeni ili iingie kwenye machafuko makubwa. Kuna mazingira ambayo yanaweza kusababisha taifa...
Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua za kupunguza makali ya ongezeko la bei za mafuta nchini, ikiwemo kutoa ruzuku ili kulinda watumiaji na kupunguza athari za gharama za mafuta kwa shughuli za kiuchumi.
Hatua hizo zinalenga kuhakikisha kuwa, pamoja na changamoto zinazoendelea katika soko...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa mrejesho kuhusu hoja ya Mdau aliyeandika ~ Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka.
MWAUWASA:
Tunapenda kufafanua kuhusu changamoto iliyowasilishwa ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa eneo...
Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.