VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,494 Reaction score 1,466 Apr 25, 2025 #1 Mwamba hapa kachemka. Mchezaji maarufu wa team ya APR/ Lague Byiringiro na familia yake. Lague alipokuwa Sweden kikazi, inasemekana ndipo alipooa mkewe kipenzi, na kumzalia watoto wa Kizungu. Hapa DNA haina hata umhimu
Mwamba hapa kachemka. Mchezaji maarufu wa team ya APR/ Lague Byiringiro na familia yake. Lague alipokuwa Sweden kikazi, inasemekana ndipo alipooa mkewe kipenzi, na kumzalia watoto wa Kizungu. Hapa DNA haina hata umhimu