VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Mwamba hapa kachemka.
Mchezaji maarufu wa team ya APR/ Lague Byiringiro na familia yake. Lague alipokuwa Sweden kikazi, inasemekana ndipo alipooa mkewe kipenzi, na kumzalia watoto wa Kizungu.
Hapa DNA haina hata umhimu