VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Inapoelekea, watu wa mashariki mwa DRC, huenda wakawa na mgogoro wa muda mrefu na wao. Ni baada ya kundi la badhi yao kulalamikia kuwa, kosa lilianza miaka ya 1980 na kuendelea, vijana wao walipojiunga na chama cha RPF wakiwa bado Uganda.
Vijana hawa, wanasikika wakituhumu RPF kuwa imewakata wanyamlenge mikono, kwa sababu inawashawishi kuingia jeshini, wao kupelekwa nchi za nje kulinda amani, huku kwao vita vikiendelea, wengine kupewa vyeo jeshini na polisi, ili wasitoke na kurudi kwao.
Wanadai, chama cha RPF hakiwajali, kwa sababu ukionekana mtumiaji mzuri wa tungi, unatupwa nje ya mfumo. 😜😜😜😂😂😂😂. Hawaamini jeshi ni nidhamu.
Kwa mjibu wa maelezo yao, serikali ya Rwanda inakusanya watutsi wa DRC na kuwahifadhi kwenye kambi za wakimbizi.
Na zaidi, wanadai kuanzia Makenga, wote ni vibaraka wa Rwanda, hivyo hawatambui uwepo wa M23 na uongozi wake. Hawaoni sababu ya Rwanda na DRC kuingia makubaliano yoyote, kwa sababu wanao uwezo wa kujilinda.
Vijana hawa, wanamuunga mkono Lt Gen Masunzu, ambaye hapatani ni AFC/M23, na yeye pia akiwa mnyamlenge.
Kwa kifupi, hata wanyamlenge wenyewe wana makundi mawili: linalofurahia kazi ya M23, na lingine linalotaka kuifukuza M23.
Mwisho utakuwa kipengele sasa.