VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Akiwa na bangili za serikali, Bwana Erasme Ntazina amefikishwa mahakamani, jijini Kigali kujibu tuhuma zinazomkabili.
Pichani, ni mchepuko wake, inaosemekana, kwenye hafla ya kuweka mashudu ya maua kwenye makaburi ya watutsi waliouwawa katika mauaji dhidi ya watutsi nchini Rwanda, mwaka 1994, aliamua kwenda kuweka maua hayo akisindikizwa na mchepuko huyo badala ya mkewe wa ndoa, inaesemekana wapo kwenye process za kuachana kishelia.
Picha moja hapo kama inavoonekana, mwanamke huyo alipiga akiwa amekalia kiti cha kiongozi huyo,na kurusha picha mtandaoni, jambo lililomcost kiongozi huyo mpaka kujikuta katika mikono ya vyombo vya dola.