AI na elimu, kuna akili gani wanafunzi watakapohitimu?

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Walimu walikuwa wakitoa mazoezi ya nyumbani(Homework), kwa lengo la kumuwezesha mwanafunzi kujikumbusha aliyosoma na kuangalia uelewa wake, ili aweze saidiwa pale anapoonekana hafanyi vizuri.

Leo hii, Kitu AI(Artificial Intelligence), ndo kimewapiku walimu. mtoto akilalamikia ugumu wa Homework, mzazi anachukuwa simu yake, zoezi ambalo lingechukua nusu saa, dakika nyingi, mwanafunzi ameshajaza na kumaliza.

Je, hii haina hatari kwa kizazi hiki ambacho hakitaumiza kichwa kutafuta ufumbuzi wa mambo magumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…