AFC/M23: Shirika la haki za binadamu, laituhumu mauwaji ya raia 140 Kivu Kaskazini.

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Msemaji mkuu wa kisiasa, bwana Oscar balinda, nae alikanusha tuhuma hizo, akidai hakuna aliefika na kukusanya taarifa zilizotangazwa, na kwamba iwapo yataonekana makaburi yao au kaburi la pamoja, wapo tayari kwa uamzi wowote utakaochukuliwa na Umoja wa mataifa dhidi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…