zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    OUT: Tazama matangazo mubashara makatibu wa Uenezi wastaafu CCM Cde Nape Moses Nauye na Cde Shaka Hamdu Shaka wakitunukiwa Shahada zao

    https://www.youtube.com/live/SQeav0ZPygc?si=P2PMMRRBNrjGquJo NAPE NA SHAKA WAHITIMU OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA: CCM NA TAIFA KUNUFAIKA NA HAZINA YA UZOEFU NA MAARIFA YAO Makatibu wastaafu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye na Shaka Hamdu Shaka, leo ni...
  2. F

    Hivi wazazi na walezi wa Sasa, Bado mnafundisha watoto kutunza bikra zao?

    Hili ni swali, Bado wazazi na walezi wa Leo mnafundisha watoto wenu wa kike na kiume kutunza bikra zao? Karibuni
  3. Wakazi wa Kipunguni wafika ofisi za TAA kudai walipwe stahiki zao za kupisha upanuzi wa ‘Airport’

    Wananchi waliojitambulisha kuwa ni Wakazi wa eneo la Kipunguni, jana Novemba 24, 2026 walifika kwenye Ofisi za Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Jijini Dar es Salaam wakidai kukamilishiwa malipo wanayodai yaliyotokana na upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)...
  4. E

    Je, wafanyakazi wanatambua haki zao za ujira? Nini kifanyike?

    Malalamiko ya kucheleweshewa mishahara, kupunjwa malipo na makato yasiyoeleweka yameendelea kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya kazi nchini. Wakati baadhi ya wafanyakazi wakifikia hatua ya kugoma, wengine wakiharibu mali za waajiri wao, swali linabaki: Je, wafanyakazi wanazifahamu haki zao za...
  5. Kitila Mkumbo: Wananchi wa Masaki na Mikocheni Wanauza Ardhi zao Kwa Wageni Kwa makubaliano ya kisheria Harafu Serikali Inalaumiwa Kwa Lipi?

    My Take Naunga mkono hoja ya Kitila Kwa sababu hata niwe Mimi yaani mtu ananipa Bilioni 5 ambayo naweza kwenda kufanyia makubwa zaidi kwingineko nisiuze kisa mgeni? Mnaolaumu acheni upuuzi,hata Mimi Nina eneo langu japo halipo Dar nikipata mgeni na ofa nzuri nauza nachukua pesa,Nchi ni kubwa...
  6. Top 3 members wa JamiiForums wanaoongoza kwa reasoning/thinking quality. Yaani IQ zao zimesimama (Kwa mujibu wa ChatGPT)

    Nilichogundua hatuwezi kujificha kwenye vivuli vya I'd zetu za bandia humu hasa kwa dunia ya sasa ni swala la muda utajulikana kama ni bumunda au bright mimi nimefupisha tu ila nilipata taarifa za kila members humu hadi wale wenye low iq kwa aina ya michango yao wanatambuliwa vizuri tu...
  7. Matapeli wamevamia Kilimo, zao la chai lang'olewa Rungwe, na serikali imelala!

    Nimetembelea majuzi kwetu Tukuyu, Rungwe. Matapeli na wafanyabiashara wahujumu wamevamia wakulima. Sasa wakulima wanajibu mapigo. Kiwanda cha chai Katumba muda mrefu kimebiafsishwa kwa matapeli walioshindwa kukiendesha. Wao wamekikopea mkopo na kutokomea kusikojulikana. Wakulima kuliko kukaa...
  8. T

    Wanaume walioachwa na Wanawake zao na wakafanikiwa zaidi kwenye mahusiano..

    Wengi huwa wanakwama na ni sababu kubwa ya kupoteza ndugu zetu hapa duniani.
  9. MaAdmin wa Taasisi za umma na mbwembwe zao kwa matukio tofauti

    Habari. Kwenye page za taasisi za umma tofauti nimekutana na picha zikiwa na maneno na misemo mbalimbali. Hii inaleta tafsiri gani? Maendeleo katika Ubunifu? Uhuru usio na mipaka? Au ulimbukeni?
  10. A

    KERO EWURA kuna changamoto ya mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation

    Kero yangu ni kuhusu EWURA na mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation, kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa tunaona taasisi zingine wanatoa leseni zao baada ya muda mchache unafanya malipo kwenye Mtandao na kuipata lakini wao wanatumia siku 40 hadi 60 ukiuliza wanasema ni...
  11. N

    UPENDO UMEISHA?? Baba na Mama zetu (1970s) walikuwa wanawaleta mjini Dar Es Salaam ndugu zao wa mama mwingine (Half brothers & Sisters)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Unakuta babu alikuwa na wake wanne miaka hiyo 1970s. Ila mtoto mkubwa kabisa wa mke mkubwa alimaliza secondary Ilboru, akasoma University of Dar Es Salaam, akafanikiwa kupata kazi mwaka 1985 NBC au Shirika la reli, anamchukua mdogo wake (mtoto wa mama wa kambo mke wa...
  12. Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue

    Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
  13. E

    Hawa viongozi na watumishi wa umma tulio nao ni wazi wamelelewa na viboko Je vimewasaidia vipi kuwa na maadili na waeledi katika kazi zao!?

    Hoja kubwa inayosemwa ni viboko vikiondolewa tutaleta kizazi cha ovyo, Huyo mtoto anazaliwa akiwa ovyo au jamii ndio imamtengeza awe ovyo!? baadae ndio fimbo imrekebishe? Hawa viongozi wa sasa na watumishi serikalini ni wazi wamesom zama za viboko ni kitu gani viboko vimeongeza katika uadirifu wao?.
  14. Samsung kukosa weledi wa bidhaa zao ni uzembe na aibu

    WITO KWA UONGOZI WA SAMSUNG TANZANIA: BORESHENI HUDUMA KWA WATEJA! Nimekutana mara kadhaa na changamoto kubwa katika maduka rasmi ya Samsung, Dodoma na Dar es Salaam. Unapofika dukani ukiwa na tatizo la simu ya Samsung, ambayo ni bidhaa mnazozalisha na kuuza wenyewe, unatarajia kupata msaada wa...
  15. Mkwamo wa Kisiasa Israel: Netanyahu Apoteza Wingi wa Viti, Waarabu Washika Hatamu kama 'Kingmakers'

    Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
  16. Wachina wametufanya majaribio sana kwenye products zao ila zikifanikiwa wanapeleka ulaya.

    Ukiona mchina kaleta kampuni yake hapa afrika tambua yupo kwa ajili ya test. Nimekumbuka kampuni kama Tecno ilivyokuja afrika na sasa inapeleka products zake ulaya.Mbona ijapeleka mwanzoni. Leo kulikuwa na uzinduzi TVS hizi pikipiki ulaya ila cha kushangaza kajaza test zile pikipiki za mama samia.
  17. M

    Nimefanya kazi na makabila mbali mbali, hizi ni tabia nilizoziona zikijirudia

    Nimekutana na makabila kadhaa ila katika haya nimekutana na watu zaidi ya saba na tabia hizi niliweza kuziona zikijirudia rudia. Wachaga - ni wachapakazi, wanajituma, lakini muda mwingi wana plan ya kutafuta tobo la kupiga hela. Kwenye maelewano ya pesa hakikisha mnaenda kwa mikataba, mkienda...
  18. A

    KERO Waziri wa Mikopo UDSM ni changamoto sanaa

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao. Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
  19. Ianzishwe movement ya kuzikataa mahakama zetu. Yawekwe madudu yote wsliyofanya kwa kunyima watu haki zao.

    Sijui itapewa jina gani. Lakini ionyeshe kwa uwazi jinsi mahakama zetu zinavyopindisha sheria. Ziwekwe video, refference za cases mbalimbali jinsi mahakama zinavyochezewa na hii serekali. Nukuu kama za Rostam alivyokuwa akielezea mfumonwetu wa mahakama ulivyo mbovu.
  20. A

    KERO Watumishi wa Afya Njombe DC tunahamishwa bila kupewa stahiki zetu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo. Kwa mfano, mtumishi mwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…