zanzibar

  1. Mawaziri wa Tanganyika hawana weledi kama wanaotoka Zanzibar au tatizo lao ni nini?

    Nini kinapelekea panga pangua ya kila mara kwa mawaziri wa Tanganyika tofauti na wale wa Zanzibar ambao wamekuwa wanadumu kwenye nafasi zao kwa muda mrefu ?
  2. FT: Yanga SC 0-1 MC Alger | Makundi Klabu Bingwa Afrika | New Amaan Zanzibar | Nov 28, 2026

    Timu ya Yanga haijaanza vyema hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya MC Alger ya Algeria, katika mchezo uliochezwa Uwanja wa New Amaan, Zanzibar. Yanga, inayoshiriki Kundi B, sasa itakutana na Club Africain ya Tunisia Desemba 5, 2026, nchini Tunisia...
  3. Kuna hawa watu wanahubiri Injili beach Zanzibar, Tanzania ustaarabu ni zero kabisa

    Watu wapo beach wanaenjoy, nyie mnaenda kuwahubiria. Kwani hamna makanisa? Mnabeba na spika kabisa kwenda kwenye beach ya public kuhubiri, lengo ni kuharibia watu siku ama ni nini? Watanzania wameshika sana dini kiasi kwamba zimefanya watupilie mbali ustaarabu kabisa. Kuanzia makanisa kupiga...
  4. Invest in Fumba town Zanzibar

    A new city for a new time is created at the coast of Fumba town in Zanzibar. Be the future, be the progress, be Fumba. Welcome to a new era of living, invest in Fumba town Zanzibar. Our products and prices: MOYONI BAY - 2 and 3 bedrooms. Starting at USD 160,900. BUSTANI VILLAS - 3 and 5...
  5. Nungwi, Zanzibar, Hotel zaidi ya SITA zimeshika moto jana, Novemba 21

    Chanzo cha moto hakijatolewa na mamlaka husika. Hakuna vifo Wala majeruhi.
  6. Zanzibar: Inadaiwa Hotel zinachimwa walipwe na Bima. Je Mto Ulozuka Nungwi ni dili au ajali? Hotel sita zateketea

    Je, ni kweli hoteli nyingi zinachomwa makusudi? Au ni ajali kwa wafanyabiashara wafanyabiashara wa Hoteli? Moto mkubwa umezuka leo 21/11/2026 katika eneo la Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja Zanzibar, na kuteketeza hoteli sita pamoja na maduka ya wajasiriamali wadogo. Kati ya hotel6...
  7. Moto wateketeza hoteli 6 Zanzibar

    Hoteli sita zimeteketea kwa moto katika eneo la Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar huku hoteli tatu kati ya hizo zikiripotiwa kuathirika vibaya katika tukio lililotokea leo, Novemba 21, 2026. Akizungumza na AyoTV kwa njia ya simu, Katibu wa Sheha wa Nungwi, Khamis Kibata amethibitisha...
  8. K

    Swali: Watu wa Zanzibar wana makabila? Kama hawana tusiwashangae!!

    Dini sio kabila na kuna tofauti ya utamaduni wa makabila na sheria za kidini. Sasa hawa wenzetu wanajuwa makabila yao au hawajui mababu zao walitoka kabila gani kwasababu ya biashara za utumwa. Inaonekana wengi wao hawajitambui na ndiyo maana nawajisahau na kufikiri wallianzia Zanzibar bila...
  9. B

    Tokea 1956 kisha Kufukuzwa Mbuzini 2026 | KINACHOTOKEA ZANZIBAR

    19 November 2026 Mbuzuni, Tumbo Nje Zanzibar Tokea 1956 kisha Kufukuzwa Mbuzini 2026 | KINACHOTOKEA ZANZIBAR Shehia ya Mwakaje na Mbuzini https://m.youtube.com/watch?v=YELY5tzEr3Q Kunani Zanzibar leo wametembelea familia ya Bw. Sonda wanaoishi katika kijiji cha Tumbo Nje, Mbuzini Unguja, ili...
  10. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar. Mawasiliano...
  11. T

    Hiki ni nini!? Watumishi wa umma toka karagwe wamekodiwa kaizeregi mbili safari ya siku 5 karagwe Zanzibar!

    Sijui ndio kula kwa urefu wa kamba au kuna nn kinaendelea kwenye nchi yetu. Yaani zimekodiwa basi kubwa 2 za kaizeregi kubeba watumishi wa umma kuwapeleka Zanzibar just kurefresh. Kama ni kurefresh kwa mujibu wa taratibu za kazi sina tatizo na hilo, ila tatizo langu ni kwamba katikati ya...
  12. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar. Mawasiliano...
  13. B

    Jobs in Zanzibar, November 2026

    Explore the latest 101 Jobs in zanzibar, November 2026 Apply For the 101 jobs Found in zanzibar on this November 2026. Explore various jobs from various companies. Motisun Group, Mala Boutique Hotel, swiss-belhotel, FOC & ARG Logistics & Supply, Jaz Hotel Group, KwaSilva, Thcp Africa, KWASILVA...
  14. Makonda Awapeleka Madiwani Wa Arusha Visiwani Zanzibar Kujifunza Uwekezaji Wa Hoteli

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Christian Makonda amesema amewapeleka madiwani wa Jiji la Arusha kisiwani Zanzibar kwa lengo la kujifunza kuhusu uwekezaji wa sekta binafsi katika hoteli, ili kupata uzoefu wa namna ya kuvutia wawekezaji kuanzisha miradi kama hiyo jijini...
  15. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata Kinyerezi (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar. Mawasiliano...
  16. Matokeo Mechi ya Kirafiki Yanga SC vs KVZ 3-1 Zanzibar - Cheikh Toure Magoli Mawili, Aziz Ki Assisti Tatu

    Klabu ya Yanga SC imepata ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya KVZ FC katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu uliochezwa Visiwani Zanzibar. Mchezo huo uliochezwa Novemba 15, 2026 usiku, ni sehemu ya maandalizi ya Yanga kuelekea michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano ya kimataifa ya CAF...
  17. Hatma ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar

    Na Constantine J.S. Mauki, Nov. 2026 Nchi hizi mbili ziliungana April 26, 1964, muda mfupi tu baada ya Wazanzibari kufanya mapinduzi na kumng'oa Sultani visiwani humo. Kielelezo Na. 1: Ishara ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Chanzo: Wikipedia Haya yalikuwa makubaliano ya Mlm JK...
  18. Kumbe Zanzibar ilikuwa sehemu ya mtandao wa NASA

    Inawezekana umeshangaa lakini ndo ukweli kwamba NASA Taasisi kubwa ya Marekani inayohusika na Masuala ya Anga iliwahi kuwepo Zanzibar 👋. Hii ni historia ambayo Watanzania wengi huenda hawaifahamu! 🇹🇿 Miaka ya 1960, NASA ya Marekani ilikuwa na kituo cha kufuatilia vyombo vya anga kilichopo...
  19. Issa Awesi: Nilikamatwa na Polisi, kwa madai ya kuchukua milioni 40 za mteja, Nikasafirishwa Kutoka Zanzibar Hadi Tabora na Kuwekwa mateka kwa wiki 2

    Nimekupangia maelezo haya kwa mtiririko mzuri, nikaboresha lugha na kuondoa makosa ya kiuandishi bila kubadilisha maana ya ushuhuda. Nimehifadhi nukuu za mtoa ushuhuda kadiri ya maelezo uliyotoa. 1. Kukamatwa na kufungiwa nyumbani Zanzibar Issa Ali Awesi, mkazi wa Zanzibar, amesimulia namna...
  20. Zanzibar ya leo ndo ile aliyoiona Amani Abeid Karume. Asante Samia Suluhu

    Wakati Tanganyika tukiuana sisi kwa sisi 29.10.2025, wakati Tanganyika tukitekana, Wakati Tanganyika tuukipeana kesi za Uhujumu uchumi na uhaini. Wakati Tanganyika tukiwaletea figisu watu wetu wenye akili nyingi kma Mzee Warioba, Nchimbi, Tundu Lissu, Polepole na wengine wengi. Wakati taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…