zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    HOJA Nani anampatia Mwaipopo mshiko wa kuwagawia wanahabari kwenye Press Conference zake?

    Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate hela. Hata kama waandishi ni zaidi ya 30, kila mmoja anachukua chake kisichopungua Sh. 50,000. Pia...
  2. Menejaben

    Safari ya Windows: Kutoka '95 Hadi '11 na Siri Zake

    Win 95: Sauti yake maarufu ya kuwaka (startup sound) ilitengenezwa na mwanamuziki Brian Eno akitumia kompyuta ya Mac! Win 98: Ilileta "Blue Screen of Death" (BSOD) live jukwaani mbele ya Bill Gates wakati akionyesha muunganiko wa USB. Win Me: Ilikuwa na crash nyingi hivi kwamba watumiaji...
  3. Desierto

    Mabango ya kuwaka gharama zake huwa zipoje

    Mm sio mteja ila nataka kujua sababu nimepata idea ya kutengeneza mabango ya kuwaka kwa kutumia tv chakavu. Mfano hili ni la tv nch 19 na pia nina tv nch40 je hili la nch 40 nikitaka kumtengenezea mteja nimchaji ngapi? Ni kubandikia tu stika basi. Ni flat flat kweli sio zile zinakaa taa kwa nyuma.
  4. Jannatul Firdaus

    Diva the Boss Ailipua Wasafi Media Akidai Stahiki Zake za Miezi Minne, akimtaja na Mwigulu Nchemba

    Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 . Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Tunafuta ndugu zake

  6. Carlos The Jackal

    Sisi Wakurya tunasema 'Utajiri wa Heche , ni Biashara zake mbalimbali ikiwemo Madini. LEMA na Genge lako mnajisumbua

    Tunaomjua HECHE, tunasema,Pesa za HECHE ni za Haki na Halali.
  7. E

    Je, ni salama kuanzisha mapenzi na rafiki yako wa karibu (Best Friend)? Shuhuda na Changamoto zake

    Wakuu salama, Kuna hili suala limekuwa likinitofautisha sana mawazo na marafiki zangu, nikaona si vibaya tukaleta hapa jukwaani ili tupate uzoefu wa pamoja na kubadilishana mawazo. Wote tunajua kuwa urafiki wa dhati ndio msingi mkuu wa mahusiano yoyote imara ya kimapenzi yanayodumu. Lakini...
  8. Gospel KTV

    Alijiunga NSSF kwa kutumia Passport, sasa hivi anataka kutoa pesa anaambiwa lazima awe na NIDA. Hii imekaaje kisheria?

    Wakuu salama, Kuna changamoto inamkabili ndugu yangu mmoja hapa naomba mniongezee mwanga au kama kuna mtu amewahi kukutana nayo atupe uzoefu wake. Huyu ndugu yangu wakati anaajiriwa na kusajiliwa NSSF, alitumia Paspoti ya Kusafiria (Passport) kama kitambulisho chake rasmi na akasajiliwa bila...
  9. A

    DOKEZO Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi wa Wizara ya Afya anagawa kazi zake kwa upendeleo

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo unaodaiwa kufanywa na Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi (DPS) wa Wizara ya Afya katika ugawaji wa kazi za manunuzi. Inaelezwa kuwa, licha ya maafisa kugawiwa idara mbalimbali za kushughulikia masuala ya manunuzi, baadhi ya zabuni zinazohusu idara hizo...
  10. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Tunatafuta ndugu zake

  11. Idugunde

    Saed Kubenea ni afisa wa Tiss? Habari zake huwa ni kweli 100% zaidi ya Britannica

    Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka. Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
  12. stabilityman

    nauza tairi size 14 na rim zake

    linauzwa tairi size 14 kama ilivyo bei 80,000 nakupa na rim zake taili ni mpya nimebadili nimenunua sports rim 0718408733 ipo banana dsm
  13. GANJIBHAAI

    Hivi Jamii Forums haiwezi kutengeneza Bidhaa (merchandise) zake zikaitwa jina moja tu Jamii

    Nimetest hii AI yangu ya kichovu wamba njooni mtie nyama 😃
  14. Wazolee

    Alipowaambia wananchi a.k.a CHADEMA pambaneni mpate katiba mpya nilijua tu kazi imemshinda na siku zake zinahesabika

    Uongozi ni kipaji kinachokuongoza uongee nini , Kwa akina nani na Kwa wakati gani Lakini kama wewe ni kiongozi alafu lile linalokujia kichwani ndio unalolisema wewe huna sifa ya kuwa kiongozi tena kiongozi no 2 wa nchi Kama alitaka kuzungumzia katiba mpya ilitakiwa awambie wananchi wao kama...
  15. uhuruborn

    Makamu Haramu Mteule ni Mwizi kama walivyo wakubwa zake.

    Kuna wakati taifa linapofika mahali ambapo siasa inakuwa si tena suala la uwezo, uadilifu na historia ya mtu, bali ni suala la nani yuko karibu na nani na nani anaweza kupewa nafasi gani. Kinachotokea sasa kinapaswa kutufanye tujiulize: Je, tunapima viongozi wetu kwa viwango gani? Kwa wale...
  16. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

    Huwezi kuwa na siri nzito za matukio ya Oktoba mwaka ule, halafu waukuache tu unarandaranda mitaani.
  17. The Dictator

    Majibu kwa wanaohoji kuhusu actor Jason Statham kucheza uhusika mmoja mara kwa mara kwenye movies zake.

    Maoni ya mashabiki yamezuka tena yakimuhusisha muigizaji maarufu JASON STATHAM kuhusu kucheza nafasi ileile mara kwa mara kwenye muvi mbalimbali,miaka hadi miaka. Hii si mara ya kwanza maoni kama haya kusambaa kwa kasi mtandaoni. Mwezi Aprili 2017, Jason alionekana kwenye kipindi cha The Jim...
  18. Carlos The Jackal

    Kama Lengo ni Kumfunga Kisha Msamaha, eti apoteze Haki zake za Kisiasa, futeni kabisa huo ujinga nyie Vilaza wa CCM !! Dunia haitokubali Kamwe

    Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa. Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya . Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga . Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!. Hili liwakae kichwani !!.
  19. funaku

    Pamoja na uwekezaji, Serikali ifufue kampuni zake za usafirishaji

    Kwa wanaokumbuka kulikuwa na kampuni za usafirishaji za kila mkoa ambazo zilikuwa na mpangilio na kufuata taratibu. Kwa mwenye kumbukumbu atutajie kampuni ya usafirishaji ya mkoa anaotoka
Back
Top Bottom