yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Mama yangu mzazi ana mimba ya mume wangu.

    Naomba unifiche jina. Nina miaka 25 na mume wangu ana miaka 34. Tuna watoto wawili. Kusema kweli sijui hata nianzie wapi, maana mtu ambaye nilitegemea angenifariji kwenye matatizo yangu ndiye ameniumiza kuliko mtu mwingine yeyote. Miaka miwili iliyopita wazazi wangu waliachana. Baba aliondoka...
  2. Team ya MANCHESTER UNITED inakaribia kumtoa roho baba yangu kiukweli kabisa ikifungwa na team pinzani

    Baba yangu ni Mshabiki mkubwa sana wa Timu ya mpira wa miguu ya Manchester United. Anasema alianza kuipenda na kuifuatilia kabla hajafikiria ht kunizaa mie hapa Leo amenionesha picha 4 alizopiga na Mchezaji Ryan Giggs nyumbani kwa Babu Beirut, lebanon mwaka 2017 hlf akahuzunika sana Wallah leo...
  3. C

    Jinsi Show ya Fally Ipupa inavyotaka kuvunja ndoa yangu

    Yaani ni Bora fally asingekuja maana wife anataka either niende nae kwa fally au nibaki home tuangalie kideoni na mm tayari nililipia VIP na washkaji zangu nilimpanga mchepuko wangu tukaenjoi nae rhumba Sasa wadau nisaidieni hapa nafanyaje kwenye hili?
  4. C

    Msaada: Jamani nimekwama, sikopesheki tena kwenye ESS yangu Mimi ni mtumishi naomba mtu aniazime 270000(laki mbili na sabini elfu)

    Jamani Nina changamoto na ninahitaji msaada wa tsh 270k Kila Kona ninayoitazama nina deni , ess yangu haitamaniki siwezi elezea Kwa urefu kwanini nimefika hapa ila naomba anayeweza kuniazima hicho kiasi nitakilipa Kwa awamu mbili December na January , msaada Jamani
  5. Miaka yangu yote ya 20s imepotea kwenye healing! And unlearning

    Unajua nilipo kuwa mdogo nilikuwa naona watu wanakua vibaka, malaya, wezi, makaidi...nk Ilikuwa ni kama naona kuwa wamefanya uchaguzi, wakuishi maisha yao vibaya, wakati kuna maisha mazuri yatokanayo na kuamua kuwa mtu safi. Ila sikujua kuwa hutakiwi kucheka mamba kabla huja vuka mto.. Life...
  6. Kuna mtu kanitaja kwamba nina IQ ndogo haya ndo majibu yangu

    Kuna member kanitaja kule kwamba nina IQ ndogo na anaamini kwa kufanya hivyo ananikera na kuna ambao wamemsupport Paroco Watanzania ni watu ambao wanapenda sana sifa hata ambazo ni wazi hastahili kwa hiyo ukitaka kumuudhi mtanzania hata kama yeye hana fedha mwambie huna fedha atakukasirikia...
  7. Rafiki yangu mke wa mtu miaka 52 ana mimba ya chekibobu, mumewe yupo Netherlands masomoni tangu 2024 Dec

    Huyu rafiki yangu alikuwa mlokole kweli kweli, mtu wa maombi kwelikweli, amejawa na Roho wa Bwana. Baada ya mume wake kusafiri, siku moja tukawa tumetoka naye out kuna kitu very weird nikakiona, aliagiza Savannah, nikajidai kama sijaona kitu. Akajiongelesha, nataka nitest leo inafananaje. Basi...
  8. Rafiki yangu alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho

    Rafiki yangu aliyejiita lambalamba alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho Nimewahi kuwa na rafiki mshenzi kuliko wote ingawa sikufahamu mapema hadi siku aliponionesha video akiwa anatumbuiza...
  9. Maxence Melo: Tuzo ya Netherland Human Rights Tulip Award 2026 niliyopata si yangu, ni ya Wadau wote wa Habari

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica (waanzilishi wa JamiiForums), Maxence Melo ameelezea ushindi wa Tuzo ya Haki za Binadamu ya Ubalozi wa Uholanzi ya Mwaka 2026 (Netherlands Human Rights Embassy Tulip Award) aliyoipata kutoka Ubalozi wa Uholanzi. Ashinda tuzo hiyo kumwezesha kuingia Hatua ya 5...
  10. Mwijaku: Maisha yangu yote yapo mikononi kwa Diamond

    Baada ya kuripotiwa kuwa atafikishwa mahakamani Novemba 20 kwa kesi ya kumchafua Diamond Platnumz, Mwijaku ameibuka na kusema riziki zake zote zinapitia mikononi mwa msanii huyo. "Alaikum Salaam. Kwa ninavyomjua Diamond Platnumz, Simba la Masimba, kwa moyo wake wa huruma, unyenyekevu wake kwa...
  11. Kwa hapa Tanzania, Hakuna sehemu inawaka Jua kali kama kwetu Makanya, Same, Mkoa wa Kilimanjaro

    KWA HAPA TANZANIA, HAKUNA SEHEMU INAWAKA JUA KALI KAMA KWETU MAKANYA SAME, MKOA WA KILIMANJARO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimesikia watu wakilia na kupiga mayowe. Oooh! Jua kali. Oooh! Siku za mwisho. Oooh! El nino! Yaani kilio wakilalama hali ya hewa kuwa mbaya kutokana na kile...
  12. Kimedani hakukuwa na sababu ya mauaji kiasi kile. Akili yangu inanituma huenda ilikuwa Kafara

    Hamjambo! Bado najaribu kutafakari maamuzi yale makubwa zaidi yenye kuumiza zaidi. Sifikirii kwamba kulikuwa na tishio kubwa kiasi cha kutoa maamuzi ya shoot to kills. Kimedani naona kabisa hayakuwa maamuzi sahihi. Na hayakuwa maamuzi ya lazima. Kuanzia watu wenyewe ambao kimsingi hawakuwa na...
  13. Karibu kwenye project yangu ya Programu ya Computer kwa ajili ya Dubbing

    Kwa wale watu wanaofanya Dubbing hasa studios, wanatumia softwares hasa Voiceq ambayo minimum subscription per month ni 19$. Mimi kama freelancer huwa sipendelea sana subscription za kile mwezi maana unajikuta mtu unatumia pesa nyingi kila mwezi. Hivyo kwa muda sasa nimeanza project yangu ya...
  14. Wakati Nasoma niliwahi mkuta mzee anatumia simu yangu niliyokuwa naitumia kwa siri na kuificha sana😄

    Niaje wakuu, niwape kisa changu cha kutumia Simu wakati nipo shule. Kipindi niko form two, dada angu alininunulia simu zile Nokia Obama nitumie hapo mzee anapinga sana matumizi ya simu ila dada alimpanga akamuelewa. Nimetumia nikawa naona siielewi simu ya kizee hapo wenzangu wana vitecno og...
  15. Juzi nilimtumia Binti yangu mmoja mstari fulani kumkumbusha na wewe mtumie binti yako mstari huu umkumbumbushe

    Nimesikia kuna tukio limemtokea binti mmoja ambae alikutana na kijana wa hovyo Muhuni akamfanya nae mapenzi kisha akamchukua video huku akiwa anamfanya hicho kitendo bila kuona aibu. Kwa wakati huo naona wengi wamekua wakiongea kusema kijana amefanya tendo la uovu na haikua sawa au jambo sahihi...
  16. Kuna jirani yangu saivi saa 7 na dakika 49 usiku namsikia anasonga ugali

    Wakuu Huyu jirani yangu sijui anafuga misukule. Yani muda huu saa saba usiku mtu anapika ugali?
  17. Najuta kudate na Ordinary Ladies, wanaharibu maisha yangu

    Wasalamu wana bodi Kama kichwa kinavyo jieleza mi ni kijana mtu mzima btn 35 - 40yrs old. Changamoto yangu ni kwamba spendi stress zakufukuzia wanawake wenye usumbufu na maanisha hao ma slay queens. Sasa naona uvuvi wangu unaniingiza kwenye matatizo makuubwa. Wanawake hao wakawaida ambao...
  18. F

    Intuition yangu inaniambia kuwa Polepole yu hai Bado. Tumwombee

    Ni muda Sasa umepita, Kila Nikitaka kuamini kuwa hayupo, hatunae kwamba move on, dhamira yangu Inagoma kuamini jambo hili. Intuition au dhamira ndiko inapotokea sauti ambayo mara nyingi Pascal Mayalla amekuwa akidai kuisikia. Sasa pata picha Tundu Lisu anaungana nasi, Kisha tunakuja pata...
  19. Kwanni huyu mama yangu hayaoni mema yoyote ninayomfanyia?

    Hana shukrani hata Kwa kidogo ninachompa , Leo ananitamkia kuwa Mimi sitofanikiwa Kwa chochote anatishia kunilaani..Ni mwezi Sasa yupo amelala ndani Kwa changamoto ya blood pressure.na Mimi ndie ninaemuhudumia Kwa chakula siku zote, ninayo mengi Sana ya kusema humu lakini nashindwa..wiki mbili...
  20. B

    Maswali yangu kwa msajili wa baraza la famasi NDG. Boniphace Magige

    Ndugu msajili wa Baraza la Famasi, yafuatayo ni maswali yangu kwako kama mtendaji mkuu wa Baraza la Famasi. 1. Mara kadhaa mmekuwa mkisema, hamuwezi kuingilia mikataba kati ya wafamasia wasimamizi na wamiliki (proprietors) hasa kwenye masuala ya malipo n.k. kwa kile mnachodai kwamba, mkataba ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…