Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Naomba unifiche jina. Nina miaka 25 na mume wangu ana miaka 34. Tuna watoto wawili. Kusema kweli sijui hata nianzie wapi, maana mtu ambaye nilitegemea angenifariji kwenye matatizo yangu ndiye ameniumiza kuliko mtu mwingine yeyote.
Miaka miwili iliyopita wazazi wangu waliachana. Baba aliondoka...
Baba yangu ni Mshabiki mkubwa sana wa Timu ya mpira wa miguu ya Manchester United. Anasema alianza kuipenda na kuifuatilia kabla hajafikiria ht kunizaa mie hapa
Leo amenionesha picha 4 alizopiga na Mchezaji Ryan Giggs nyumbani kwa Babu Beirut, lebanon mwaka 2017 hlf akahuzunika sana
Wallah leo...
Yaani ni Bora fally asingekuja maana wife anataka either niende nae kwa fally au nibaki home tuangalie kideoni na mm tayari nililipia VIP na washkaji zangu nilimpanga mchepuko wangu tukaenjoi nae rhumba
Sasa wadau nisaidieni hapa nafanyaje kwenye hili?
Jamani Nina changamoto na ninahitaji msaada wa tsh 270k Kila Kona ninayoitazama nina deni , ess yangu haitamaniki siwezi elezea Kwa urefu kwanini nimefika hapa ila naomba anayeweza kuniazima hicho kiasi nitakilipa Kwa awamu mbili December na January , msaada Jamani
Unajua nilipo kuwa mdogo nilikuwa naona watu wanakua vibaka, malaya, wezi, makaidi...nk
Ilikuwa ni kama naona kuwa wamefanya uchaguzi, wakuishi maisha yao vibaya, wakati kuna maisha mazuri yatokanayo na kuamua kuwa mtu safi.
Ila sikujua kuwa hutakiwi kucheka mamba kabla huja vuka mto..
Life...
Kuna member kanitaja kule kwamba nina IQ ndogo na anaamini kwa kufanya hivyo ananikera na kuna ambao wamemsupport
Paroco
Watanzania ni watu ambao wanapenda sana sifa hata ambazo ni wazi hastahili kwa hiyo ukitaka kumuudhi mtanzania hata kama yeye hana fedha mwambie huna fedha atakukasirikia...
Huyu rafiki yangu alikuwa mlokole kweli kweli, mtu wa maombi kwelikweli, amejawa na Roho wa Bwana.
Baada ya mume wake kusafiri, siku moja tukawa tumetoka naye out kuna kitu very weird nikakiona, aliagiza Savannah, nikajidai kama sijaona kitu. Akajiongelesha, nataka nitest leo inafananaje.
Basi...
Rafiki yangu aliyejiita lambalamba alipopata fedha aliwekeza kwenye ngono, guest house ya vyumba 10 alifanya full booking na kuanza ziara chumba cha kwanza hadi cha mwisho
Nimewahi kuwa na rafiki mshenzi kuliko wote ingawa sikufahamu mapema hadi siku aliponionesha video akiwa anatumbuiza...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica (waanzilishi wa JamiiForums), Maxence Melo ameelezea ushindi wa Tuzo ya Haki za Binadamu ya Ubalozi wa Uholanzi ya Mwaka 2026 (Netherlands Human Rights Embassy Tulip Award) aliyoipata kutoka Ubalozi wa Uholanzi.
Ashinda tuzo hiyo kumwezesha kuingia Hatua ya 5...
Baada ya kuripotiwa kuwa atafikishwa mahakamani Novemba 20 kwa kesi ya kumchafua Diamond Platnumz, Mwijaku ameibuka na kusema riziki zake zote zinapitia mikononi mwa msanii huyo.
"Alaikum Salaam. Kwa ninavyomjua Diamond Platnumz, Simba la Masimba, kwa moyo wake wa huruma, unyenyekevu wake kwa...
KWA HAPA TANZANIA, HAKUNA SEHEMU INAWAKA JUA KALI KAMA KWETU MAKANYA SAME, MKOA WA KILIMANJARO.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli
Nimesikia watu wakilia na kupiga mayowe. Oooh! Jua kali. Oooh! Siku za mwisho. Oooh! El nino! Yaani kilio wakilalama hali ya hewa kuwa mbaya kutokana na kile...
Hamjambo!
Bado najaribu kutafakari maamuzi yale makubwa zaidi yenye kuumiza zaidi. Sifikirii kwamba kulikuwa na tishio kubwa kiasi cha kutoa maamuzi ya shoot to kills.
Kimedani naona kabisa hayakuwa maamuzi sahihi. Na hayakuwa maamuzi ya lazima.
Kuanzia watu wenyewe ambao kimsingi hawakuwa na...
Kwa wale watu wanaofanya Dubbing hasa studios, wanatumia softwares hasa Voiceq ambayo minimum subscription per month ni 19$. Mimi kama freelancer huwa sipendelea sana subscription za kile mwezi maana unajikuta mtu unatumia pesa nyingi kila mwezi. Hivyo kwa muda sasa nimeanza project yangu ya...
Niaje wakuu, niwape kisa changu cha kutumia Simu wakati nipo shule.
Kipindi niko form two, dada angu alininunulia simu zile Nokia Obama nitumie hapo mzee anapinga sana matumizi ya simu ila dada alimpanga akamuelewa. Nimetumia nikawa naona siielewi simu ya kizee hapo wenzangu wana vitecno og...
Nimesikia kuna tukio limemtokea binti mmoja ambae alikutana na kijana wa hovyo Muhuni akamfanya nae mapenzi kisha akamchukua video huku akiwa anamfanya hicho kitendo bila kuona aibu.
Kwa wakati huo naona wengi wamekua wakiongea kusema kijana amefanya tendo la uovu na haikua sawa au jambo sahihi...
Wasalamu wana bodi
Kama kichwa kinavyo jieleza mi ni kijana mtu mzima btn 35 - 40yrs old.
Changamoto yangu ni kwamba spendi stress zakufukuzia wanawake wenye usumbufu na maanisha hao ma slay queens.
Sasa naona uvuvi wangu unaniingiza kwenye matatizo makuubwa.
Wanawake hao wakawaida ambao...
Ni muda Sasa umepita, Kila Nikitaka kuamini kuwa hayupo, hatunae kwamba move on, dhamira yangu Inagoma kuamini jambo hili.
Intuition au dhamira ndiko inapotokea sauti ambayo mara nyingi Pascal Mayalla amekuwa akidai kuisikia.
Sasa pata picha Tundu Lisu anaungana nasi, Kisha tunakuja pata...
Hana shukrani hata Kwa kidogo ninachompa , Leo ananitamkia kuwa Mimi sitofanikiwa Kwa chochote anatishia kunilaani..Ni mwezi Sasa yupo amelala ndani Kwa changamoto ya blood pressure.na Mimi ndie ninaemuhudumia Kwa chakula siku zote, ninayo mengi Sana ya kusema humu lakini nashindwa..wiki mbili...
Ndugu msajili wa Baraza la Famasi, yafuatayo ni maswali yangu kwako kama mtendaji mkuu wa Baraza la Famasi.
1. Mara kadhaa mmekuwa mkisema, hamuwezi kuingilia mikataba kati ya wafamasia wasimamizi na wamiliki (proprietors) hasa kwenye masuala ya malipo n.k. kwa kile mnachodai kwamba, mkataba ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.