Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata...
Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves.
Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza umechukua uamuzi huo kama sehemu ya mabadiliko ndani ya timu, bila kueleza sababu za kina...
Allan Okello amefunga goli pekee wakati timu yake ikiifunga KMC na hivyo kuendelea kuongoza kwa kufikisha pointi 51 kwenye michezo 21 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara.
KMC imeendelea kuwa na hali mbaya kwa kuwa imebaki mkiani kwenye msimamo ikishika nafasi ya 16, ina pointi 9 katika mechi 21
Eti sababu ya pesa zako unaenda kununua nyumba JIRANI ya uwanja wa meja isamuyo unaifanya sehem ya kubadilishia nguo. SIJAWAHI kuona upumbavu mkubwa kama huu duniani.
TFF sio wajinga kuweka sheria, zilizotungwa na kusimamiwa na FIFA kua vyumba vya kubadilishia nguo ni ndani ya uwanja na...
Huo NDIO ukweli.
Ukifanikiwa kujua mitego yao ya kichawi, kisiasa kimipango, basi umewashika makendeni.
Kuna nguvu kubwa kichawi inafanyika Sasa mvua inyeshe sana na pia nguvu kubwa kisiasa na wanasiasa baadhi watumie ushawishi na nguvu zao kimaamuzi mechi iharishwe halafu mechi ijayo...
Match Day
Kariakoo Derby
Vikosi VINAVYOANZA.
Updates...
Timu zote zimewasili tayari kwenye Uwanja wa Mchezo. Major Isamuhyo Mbweni...
Kikosi cha Yanga kimegoma kuingia kwenye vyumba vyakubadilishia Nguo.
Wameingia kwenye nyumba ya pembeni...
Sasa ni saa 11:18jioni
DK 1
Mpira umeanza kwa...
Hizi ni za ndani kabisa kesho mechi ya Simba na Yanga iliyopangwa kufanyika katika uwanja wa Meja Isamuhyo ipo kwenye hati hati ya kutochezwa.
'Updates' zitakuja hivi punde au kesho asubuhi.
Kuna vitu huwa sielewi kwa Yanga Andambwile alikuwa mchezaji anayefanya vizuri pale Yanga alikuwa anawapa utulivu pale Kati,alikuwa analeta flow ya mchezo uwe mzuri, anajua kuwin mipira ya juu, kukaba na ni mzuri kwenye set piece kufunga magoal ya vichwa sijui Nini kimefanya awe benchi au ni...
Huu utaratibu umeanza miaka ya hivi karibuni, majayanti wawili, Simba na yanga kuwa na utaratibu wa kutoa sadaka pindi tu wanapokutana.
Sadaka ni jambo jema, kwa nini isiwe kwa michezo yote? Wajuzi 👇
MATCH DAY
Yanga SC vs Simba SC ni Dabi ya Kariakoo, Kombe la Muungano Cup kwa wababe hawa kupambana kusaka taji.
Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa LEO 29/4/2026 Jumatano, Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kuanzia majira ya saa 2:15 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Yanga SC wanaingia...
Hapo vip!
Ni wazi yanga wanalijua hili ndio maana huwa wanacheza na marefa na sio kcheza na Simba.Yanga hana uwezo wa kuifunga au kutoka sare na Simba ila refa na waamuzi wa pembeni ndio huwa wanamfunga Simba au wanasare na Simba mfano darby iliyopita Simba amenyimwa goli lake la halali na...
Mchezo wa Nusu Fainali ya Muungano Cup Kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Azam FC unachezwa saa 2: 15 usiku uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar
Updates zote utazipata hapa!
Dakika 8, Mwanamfalume anaweka goli safi kabisa
Simba na Yanga zinapotajwa kukutana, focuss yote huwa inahama
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba na Yanga kukutana fainali za Muungano cup April 29 na siku chache baada ya hapo kukutana tena Mei 3 Kariakoo Derby
Yanga kwa hii misimu yote iliyocheza club bingwa,Kila msimu kwenye makundi imekua ikimaliza makundi na jumla ya point 8 Kwa match zote 6 inazocheza.Hali hiyo imeifanya yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali mara mbili mtwalia.
Kwa hivyo msimu ujao uongozi wa yanga nafikili Hilo nao pia...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza ratiba ya hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kwa msimu wa 2025/2026, ambapo vigogo wa soka nchini wamepangiwa vibarua vizito mwezi Mei.
Katika ratiba hiyo, klabu ya Simba SC itakuwa mwenyeji wa TRA United ya Chobwedo...
Yanga imefanikiwa kuifunga Mbeya City United magoli 6-0 kwenye Uwanja wa KMC, hivyo kufikisha pointi 47 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi 8 dhidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili ikiwa na alama 39.
==============
Yanga Sc leo wapo uwanjani wakiwakaribisha Mbeya City...
Mbunge wa Viti Maalum, Asha Baraka amemwomba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kutoa uwanja kwa ajili ya klabu ya Simba kama ilivyopewa klabu ya Yanga
Kweli pamoja na kero chungu nzima mbunge anaenda kuomba Simba apewe uwanja kama alivyopewa Yanga, hivi ndio vipaumbele vya wabunge wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.