yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania Wote ni ndugu, anayeteka ndugu zako ni adui yako

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, akitaka kuamsha ari ya kila mtanzania kupigania haki za Mtanzania mwenzake, alisema kuwa "WATANZANIA WOTE NI NDUGU" Sentensi hii moja, kivitendo ni majumuisho ya matendo mema msululu. 1) Ndugu yako huwezi kumwua. Hawa viongozi wa CCM wanaowaambia polisi kuwa...
  2. Elezea hali yako now kwa emoj Moja tu

    Naanza Mimi: 😁 = Chewaa
  3. Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini. Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio maana waswahili wanamsemo wao unaosema "tembea uyaone". Hii haimaanishi kwamba utembee uyaone...
  4. Maisha yako ni jukumu lako

    Unajua kwamba ukifa, the moment watu wamemaliza tu kukufukia(kuzikwa) dakika chache sana mbele vilio vyote vitanyamaza na watu wataacha kulia, tena wengine watakuwa wanacheka na kupiga story za kawaida kuhusu maisha yao wakati wanarudi majumbani. Usifikirie Ndugu na familia yako wote watakaa tu...
  5. P

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako

    Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako. Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu. Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa. Lakini unatakiwa kupambana sana mpaka ukae sawa kwenye Biashara yako. La sivyo wewe utateseka kisha wafanyakazi wako...
  6. Mwamba Pavel Durov, Wanazi Wa Telegram Tuko Nyuma Yako, Ila Ukienda Na Hii English Mahakamani, Lazima Wafaransa Wakufunge.

    https://www.jamiiforums.com/threads/ceo-wa-mtandao-wa-telegram-pavel-durov-akamatwa-katika-uwanja-wa-ndege-nchini-ufaransa.2249872/
  7. Pangilia muonekano wa simu yako ya android uwezavyo.

    Hii ni simu yangu ya samsung, nimeifanyia customization kali sana kuanzia wallpaper, icon, renaming nk Ukicheki hapo juu ni scree ya simu yangu ilivyo...prety cool isn't it guys? Hap chini sasa ndio app zinavyo kuwa Una rename app na icon yake
  8. Mambo yako kasi

    Ulikuwa mwema binti mpole, mavazi ya kiafrika kutoka kijijini, ulipofika mjini ofisi ikakuamini ikakupa kazi, ofisi ikakufundisha na mavazi ya kuvaa binti, ukakubali ukaanza kuvaa European style, hukuishia hapo ukafanyika organizational marketing binti wa watu, ukaanza kunawili kwani hukupata...
  9. Kwani kuangalia Movie Na Series Ni Hatari Kwa Afya Yako

  10. Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

    Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa! Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
  11. D

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga jitafakari, unakigawa chama kwa safu yako

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia. Hatua yako ya kuandaa safu ya unaotaka wawe wabunge 2025 tofauti na utaratibu wa chama haukubaliki. Unawagawa...
  12. Kosa gani unalijutia na limeharibu maisha yako?

    Mimi najuta kwanini nilioa mapema. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa. Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila...
  13. GAMONDI : Kazi yako ni kusambaza upendo CHAMA: imeisha hiyo boss

    Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekamilika mno kiasi kwamba kama kitaweza kutumia efficiency yake walau kwa 70% basi hata vilabu vingine vilivyotwaa ubingwa wa Afrika kama Al ahly, Wydad, Raja n.k vitapata taabu sana. Ubora wa wachezaji wa Yanga ni wa hali ya juu sana. Tukizungumzia utatu wa pale...
  14. Wewe ndiye dereva wa maisha yako mwenyewe, don't expect to be adjusted!

    Wakuu kwema? Habari za weekend. Najua wengi wameshaongea ila me nakumbushia tu kuhusu hili jambo. Wengi wetu huwa tuna matarajio makubwa sana hasa pale inapoonekana kuna tagi inabidi likufikie kutoka kwa mtu yeyote awe ndugu au rafiki. Lakini huwa tunavunjika moyo na kuwaona watu wabaya...
  15. S

    Jicho la tatu: Tundu Lissu kuwa makini, huenda kuna jambo linapangwa dhidi yako na usidhani anakukubali

    Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire. Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa tu ili watapofanya yao, basi yeye asihusishwe kwasababu ameonekana kukubali kumbe wana agenda...
  16. Ni chuo gani hapa Tanzania huwezi mshauri ndugu yako asome hata iweje?.

    Wakuu ni chuo gani uliwahi kusoma ila baada ya kuwa pale na kupita ukagundua ni heri ungegundua mapema usingelienda kusoma pale? 🤣
  17. T

    Je unatafuta Furniture na mionekano inayolingana na Mtindo wa Nyumba au ofisi Yako?!

    Habari za leo! Ikiwa umewahi kufikiria jinsi nyumba yako inaweza kuwa na muonekano wa kipekee na kuvutia, Afro Eco Wood Designs ndiyo jibu unalotafuta. Tunatoa huduma ya kudesign furniture na muonekano wa maeneo ya nyumba na biashara kwa kutumia mbao , ambapo tunachukua mawazo yako na...
  18. M

    IFIKE MUDA UKUBALI KUWA HUYO SIO HADHI YAKO, ACHIA WENYE HADHI YAKE WANYOOSHANE 😊

    KUNG'ANG'ANIA ASIYE HADHI YAKO SHARTI UKUBALI KUIGIZA NA KUTUMIKISHWA 😔 Sio vibaya kukubali kuwa huyo hamuendani kuliko kujitutumua uonekane ni hadhi yake huku sirini unaumia na kunyanyasika. Mtu ambaye anataka matumizi ya laki tano kwa mwezi ilihali mshahara wako kabla ya makato ni laki nne...
  19. G

    Watumiaji wa halotel, Weka speed test yako na eneo ulipo, naanza mimi.

    pima speed yako >> minya hapa << Halotel internet speed test yangu nimepima nikiwa Iringa mjini, Je huko kwako ni ngapi ?
  20. Gari yako ishawahi kukuambia hivi?

    Haya magari ya siku hizi noma sana. Pata picha uko kwenye highway, expressway, freeway, interstate, etc. Kwenye uendeshaji wa magari kuna kitu kinaitwa highway hypnosis. Ile hali ambayo ukiwa unaendesha gari lakini unajikuta unaacha kuwa attentive na kuangalia barabarani na akili yako inakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…