yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Hivi ukigundua mtumishi mwenzako anafanya majukumu yako ambayo hayamhusu kazini utafanyaje?

    Wakuu mambo vipi ? Mimi ni mkaguzi wa ndani taasisi ya umma x kwenye unit ya internal audit sasa katika kutekeleza majukumu yetu kumetokea bifu la kimya kimya kati ya DG na CIA na ilo bifu limetokea kutokana na hoja za ukaguzi ambazo uwa anaandika CIA upelekea DG kuhisi anakamiwa na ivyo...
  2. Ukipona katika ajali ni muujiza au siku yako ya kufa haijafika?

    Mimi nafikiri kupona katika ajali ni bahati tu. Inategemea ulipokaa, ukubwa wa ajali, jinsi ajali ilivyotokea na huduma ya kwanza na matibabu baada ya ajali.
  3. Ilikuwaje ukagundua rafiki zako kwao ni matajiri..?

    Niadje WanaJF kwenye haya maisha tunakutana na kuconnect na watu mbalimbali ilikuwaje ukagundua kwamba mshikaji wako kwao sio kinyonge wako na ganji ya kutosha
  4. M

    Ili wikiendi yako iishe ikiwa bora unahitaji burudani gani leo?

    Kuna burudani nyingi sana, mimi leo ili iishe vyema nahitaji kuburudika na mziki laini nikiwa na maji baridiii kwenye kaupepo mwanana kando ya Ziwa Mkuu wewe unahitaji burudani gani?
  5. L

    Rais Samia: Hongera Mwanangu Jihan Kwa Kuipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania. Nakutakia kila La heri katika Safari Yako.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge. Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu...
  6. Usijilinganishe na watu wengine. Ishi maisha yako, kuwa na shukrani

    Apply hizo vitu mbili hapo kwenye maisha yako after a few days utaona maana halisi ya maisha. Usiji-compare na watu wengine Ooh mbona fulani ana maisha mazuri,ana gari zuri,ana kazi nzuri,yuko na biashara ya kutisha stop that madness ishi maisha yako shukuru kwa kile ulichonacho. #StressFreeZone
  7. M

    Rafiki yako anaweza kukutetea hata kama anajua wewe ndiye mkosaji?

    Kuna baadhi ya marafiki wanateteana kwa kila kitu mpaka ujinga, akikuta rafiki yake ana msala atasimama kutetea hata kama anajua rafiki ndiye mkosa kisha atamlaumu baadaye tatizo likiisha. Umewahi kupata rafiki kama huyo?
  8. M

    Muongozo wa kununua Spark Plug sahihi: Usibahatishe ! Fundi na Ai wanaweza kukosea, tumia katalogi hii ya DENSO.

    Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine. Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
  9. M

    Kwa zama hizi, kutegemea mkeo hatachepuka hadi kifo ni ndoto za mchana, shukuru kama bado anaweka mipaka inayolinda ndoa, familia na heshima yako.

    Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la nguvu za kiume, stress na majukumu yanayoweza...
  10. Kama ni baba yako,ndugu yako,jirani yako mwambieni Prof kabudi umri uliobakisha dhambi yako kubwa ni uwongo.

    Ingekuwa ni baba yangu ni ngemuomba tu kuachana na kutumia serikali unayoitetea kwa kubeba uwongo sana. Huyu mzee kwa uwongo inaonesha hata chuo kikuu hapo kazilisha waongo.
  11. Siku ya harusi yako

    Siku ya harusi yako jioni ile mpo ukumbini sherehe ishaisha, watu wakiwa wanaagana unaitwa na Kaka zake mke wako, Wakat huo wamewashika watoto wawili mkono, Unapelekwa kando then unaambiwa “Shemeji, mdogo wetu aliteleza kdg akiwa chuo Lakini sisi tutasomesha hawa watoto wenyewe”.
  12. Nchi ambazo ni kosa la jinai na kinyume cha Sheria kuacha dini yako.

    Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi . 1. Saudi Arabia 2. Iran 3. Qatar 4. UAE 5. Afghanistan 6. Mauritania 7. Yemen 8. Brunei 9. Maldives 10. Pakistan 11. Somalia 12. Malysia
  13. Hivi kumbe mtu unajua destiny yako kadri unavyoishi

    Kwanza kabisa nipende kujitambulisha, You can call me King of hearts ♥️ Mimi ni mgeni humu(ila ni wenyeji pia) Nimekuja kugundua, kitu kimoja na nitatoa mfano hai Mtu hujua yeye ni nani, sio kwa maamuzi binafsi bali ni kwa kuishi na kufuata kile roho yake inamwambia, sio kile walimwengu...
  14. Utakufa na maiti yako haitaonekana

    Ndugu zako na rafiki zako hawataweza kukuzika, Muombe sana Mungu wako maana siku zako zimebaki chache sana.
  15. CCTV yako ukiunganisha na internet basi tambua hupo live duniani

    Nimepata bahati kukutana na mtu ambaye katika safari zangu tukawa tunapiga story za teknolojia. Si kujua huyu jamaa ni kitengo kikubwa sana ila interest ya mazungumzo yake ndio ili nifanya kujiuliza sana. Kuna jamaa alivujisha jinsi CIA wanavo dukua taarifa za watu na kujua watu.Hii ni kweli...
  16. T

    Kwa mwanafunzi, hivi ni lazima uipende taaluma yako?

    Nikiwaza hili ni jambo nitakalokuwa nafanya kila siku asubuhi hadi jioni kipindi chote cha maisha yangu kama chanzo changu cha kipato na utambulisho wangu , inachosha!, uhuru kidogo, naona kama niko boxed kwenye maisha. Inanilazimu kutafuta namna ya kuipenda hii taaluma ili niwe na moyo wa...
  17. Mama usifumbe macho yako niko hapa

    https://www.facebook.com/share/r/19des4S3mc/ Wimbo "Mama, Don't Close Your Eyes" wa mradi wa "Bjorn Bonebreaker" uliotolewa Septemba 2026 ni wa kutengeneza na umetengenezwa kabisa kwa teknolojia ya akili mnemba (AI), ikiwemo video za tamasha na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
  18. M

    Leo tuambie parking yako umepaki gari gani

    Leo baada ya kupokea simu kutoka kwa waziri kuwa baada ya mwezi mmoja atakua na mgeni wake kutoka ughaibuni na ni msanii mkubwa na hivyo anahitaji gari zenye thamani ya kuendana na msanii Kwahiyo mh waziri anahitaji gari zangu kwa ajili ya mapokezi na mizunguko ya mgeni wake nami nimemkubalia...
  19. Hadi sasa maishani mwako degree(s) yako imechangia mafanikio yako kwa asilimia ngapi?

    “Change is the end result of all true learning.” — Leo Buscaglia
  20. Sijui kwanini ila mara nyingi mtoto wa tatu na wanne mara nyingi sio damu yako.

    Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…