yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Unapojijali nje yako usiisahau ndani yako

    Hili ni swala la kukumbushana tu, sikuhizi watu wanajivika vitu vya thamani si haba na wala si dhambi,lakini kumbuka ndani yako ndio inajenga nje yako! Nje yako unajisitiri na nguo za gharama lakini ndani yako unapeleka vyakula vyenye chemical mpaka enzymes zinashangaa!. Hicho kichwa...
  2. Namna ya kuwa mbia na kampuni za nje katika biashara huku ukitumia 'brand' yako

    Biashara yoyote ni ubunifu. Na si lazima mpaka uwe na mtaji mkubwa, ndio uweze kufanya biashara na kampuni za nje. Swali; utaanzaje anzaje? Muhimu sana huwa ni ubunifu wako; kichwa kifanye kazi yake. Itategemea wewe unataka uingie katika biashara ipi. Kwa anayeanza, anaweza kuanza hivi :-...
  3. Kupiga picha na watu maarufu, kunakuongezea vipi, unafuu katika maisha yako?

    Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali. Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
  4. Badilisha matumizi ya nyumba yako kubwa, kuwa ya kibiashara; hasa kwa wale walioajiriwa

    Kumekuwa na mahitaji au matamanio ya kila mtu anayepata kipato kutamani kumiliki na kuishi kwenye nyumba kubwa. Wapo wanaodunduliza au kupata mikopo, na hatimaye kufanikisha lengo hilo. Na kuishi kwenye nyumba kubwa, huku umeajiriwa, kiuchumi sio ufahari ; kwa sababu inakuwa haikuingizii...
  5. Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote...
  6. SEMINA; Mbinu 7 Za Kuwekeza Kwenye Ardhi Na Majengo Katika Mazingira Yako

  7. Waziri Ashatu Kijaji hiyo 'Doctorate' yako ni ya Ubobezi wa Uwongo au Kuchanganya?

    "Royal Tour ya Rais Samia imesababisha Hoteli zote Kubwa Dar es Salaam, Kilimayna Arusha kujaa kwa miezi Mitatu ijayo" Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji. Halafu GENTAMYCINE nawaulizeni nyie Viongozi wa Serikali hivi mnavyokuwa mnatudanganya kiasi hiki huwa mnadhani kuwa...
  8. Mbunge wa jimbo la Hai ofisi ya CCM ulikochukulia na kurudishia fomu za Ubunge haifanani na hadhi yako

    Kichwa cha habari kinajitosheleza. Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai. Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM...
  9. Wale mashangazi wa JF yako wapi siku hizi? Au wameolewa ukubwani?

    Jamani kama kichwa chauzi kinavyojieleza maana hata kitaani siyaoni au zama zimebadilika maana kipindi kile tulikuwa tunagongana kitaa! Vipi sasa siwaoni au wameolewa? Ukubwani nimewamiss kwakweli!!au kilikuwa kipindi cha umri wa stress:D :D:D:D
  10. Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Wadau, Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii. Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo: 1. Suruali 2. Makoti ya wapishi wa hoteli 3. Mashati 4. Apron 5...
  11. Ujue umuhimu wa kusasisha (Update) simu au Apps zilizopo kwenye simu yako

    Salaam Wakuu, Kusasisha simu ni hali ya kukubali/ kuruhusu mabadiliko ya mfumo wa simu au App iliyo katika simu au kifaa cha kijidijalikwenda katika mfumo mpya. Mabadiliko haya yanaweza kufanyika kwenye vifaa vingine vya kidijitali iliwamo Computer Smart TV na android TV. Mada hii itajikita...
  12. Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

    Mimi binafsi nilianza kumiliki Siemens C25
  13. Suluhisho la kupikiwa(kupata) chakula safi, kitamu na kwa wakati kwenye shuhuri yako ni hili

    Kwa Shuhuri yoyote iwe Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation na Chochote kile kitakachoitaji uwepo wa chakula kupikwa na mpishi. Mpishi lazima azingatie Usafi, Ubora na Ladha Nzuri Ya Chakula kwa Mteja wake Na Kubwa Zaidi Kwenda Na muda kweny Kupika Chakula, Hivyo chakula inabidi...
  14. Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

    Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana. Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana. Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia kupigania haki zao. Hawa ni wananchi waliofukiwa na serikali ili kupisha muwekezaji aweke mgodi pale...
  15. J

    Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako

    Mengi yamefanyika chini ya Mwaka Mmoja. Nayakumbuka haya machache ya Mwaka mmoja wa Rais Samia ongeza yako… 1. Amepunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66. 2. Amejenga madarasa 1500 nchi nzima. 3. Amevifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa. 4. Amemalizia Ujenzi wa Daraja...
  16. Jinsi ya Kuseti muda wa kutumia application fulani kwenye simu yako kuepuka addiction

    Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga. Ingia settings bofya screen time turn on screen time kama hujawasha bofya App limits bofya add limits chagua application yako kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
  17. Uhusiano kati ya malengo yako na matendo yako

    Habari za wakati huu; Tunaishi hapa duniani na maisha lazima yaendelee.Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu maisha yetu.Mjadala huu unahusu uhusiano uliopo kati ya malengo yako na matendo yako.Wengi wetu hatujui ila moja kati ya chanzo kikuu cha mkwamo katika maisha ni mgogoro au kupishana...
  18. Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    WAZIRI UMMY MWALIMU, USIPOTOSHWE NA WAFAMASIA KUHUSU ADDO, MTAANGAMIZA AFYA ZA WATANZANIA. Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,PhD)  Salaam Mhe Waziri! Kwanza kabisa nikupe pole na hongera nyingi sana kwa majukumu iliyonayo ya ujenzi wa taifa hususani dhamana kubwa uliyopewa ya kushikilia afya za...
  19. Kama Mwanaume haupaswi kula chakula kingi nyumbani heshima yako itashuka

    Katika muendelezo wa kupeana tips za hapa na pale kwa lengo la kuishi comfortable na kuhakikisha heshima ya mwanaume inabaki palepale licha ya mapinduzi makubwa ya teknolojia katika karne ya 21 ni vyema kuzingatia vitu ambavyo ni minor kwenye maisha lakini vina negative impact. Back in days...
  20. D

    Uza youtube channel yako ambayo hutumii

    Kama una youtube channel yako yenye subscribers wengi na hutumii tuwasiliane,nitainunua
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…