yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Zijue faida za Utulivu wa kuwa peke yako

    Kujivunia kuwa peke yako ni ishara ya ukomavu wa kihisia na kujitosheleza, ambapo mtu hufurahia uwepo wake binafsi badala ya kuhisi upweke au kutengwa. Kitaalamu katika saikolojia, hali ya mtu kuwa peke yake kwa hiari na utulivu huitwa Solitude (upweke chanya/utulivu wa kuwa peke yako), tofauti...
  2. Nauza Powerbank itakayochaji iPhone yako mara 8 na zaidi hata umeme ukate wiki nzima

    PowerBank hii inaweza kuchaji iPhone yako mara 9 ndio uichaji. Inafaa kwa mainjinia, project managers nk na wale ambao wanakaa maeneo ambayo yana changamoto ya umeme. Sifa zake kwa ufupi; 1. Inachaji simu mara zaidi 9 (inategemea na ukubwa mAh za battery) 2. Inawaka taa (tochi) 3. Ni rahisi...
  3. Kikawaida ukiona unaingiza ndani pikipiki kwa kutumia mkono ujue pikipiki yako ni mbovu fanya ututafute. Post hii haihusu pikipiki

    Kikawaida ukiona unaingiza ndani pikipiki kwa kutumia mkono ujue pikipiki yako ni mbovu fanya ututafute. Post hii haihusu pikipiki
  4. Ukiomba au ukisali unajuaje mungu amejibu maombi yako

    Ukiomba au ukisali unajuaje mungu amejibu au hajajibu maombi yako ?
  5. Wewe nati iliyolegea acha kabisa kunitag kwenye mambo yako ya kipuuzi

    Nafahamu jukwaa hili limejaa mitoto mikubwa yenye ndevu zake, kutwa kucheza michezo ya kudhihakiana na pengine kutukanana na kuchongeana kwa mods ili I'd zifungiwe na mmoja akishinda mwenzie anashangilia ( utoto wa namna gani huu) Hivyo ndugu yangu wa jf mwenye I'd mahususi ya nati iliyolegea...
  6. S

    Usipomsaidia Jirani yako umpendaye Usilie siku wabaya wakija kumsaidia kwa hila

    Jirani ni mtu yoyote ambaye unatakiwa kumuonesha upendo kwa kumsaidia, Au Kumlinda. Usipotimiza Wajibu wako wa upendo kwa wahitaji, Shetani anaowatu wa kulitimiza hilo kwa hila! MAUMIVU YA KUTOKUTIMIZA WAJIBU WA UPENDO KWA JIRANI NI MAKUBWA ZAIDI KUPITIA MAJUTO Kumbuka kisa cha msamaria hadi...
  7. Kazi gani ambayo unahisi ukiipata itatatua matatizo yako kiuchumi?

    Najua tumetofautiana changamoto za kiuchumi kulingana na mahitaji, malengo n.k lakini ikitokea kazi ya kumaliza shida hii...Kazi gani ambayo unahisi ukiipata itatatua matatizo yako kiuchumi?
  8. Amri ya 9; Usimshuhudie jirani yako uongo. UNAWEZA KUMSHUTUMU MWĪZI AMBAYE HUJATHIBITISHA KUWA AMEIBA?

    AMRI YA 9; USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UONGO. UNAWEZA KUMSHUTUMU MWĪZI AMBAYE HUJATHIBITISHA KUWA AMEIBA? Anaandika Robert Heriel Mtibeli. Kuna jambo moja ambalo watu wengi hulikwepa wanapozungumzia haki, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi: Je, kupigania haki kunakupa ruhusa ya kutoa tuhuma...
  9. Biashara Yako Inaanza? Pata Wateja na Matokeo ya Uhakika kwa Kasi Sasa!

    Kuanzisha kampuni mpya ni hatua kubwa, lakini changamoto kuu ya biashara nyingi zinazoanza ni kupata wateja wa kwanza haraka na kujulikana sokoni. Usipoteze bajeti yako ndogo kwa kubahatisha au kutumia njia za kizamani zisizo na mrejesho. Nasaidia biashara zinazoanza (Startups) kupiga hatua kwa...
  10. Je unaweza kupiga hatua kimaisha (maendelro binafsi) bila madeni ya hapa na pale? Tupe experience yako mdau?

    Habari zenu wadau, Katika hali ya kawaida ya maisha ya sasa, kipimo cha maendeleo kinatazamwa kwenye vitu vya msingi na vya kisasa; kama vile uhakika wa kula na kuvaa vizuri, kulipa kodi bila presha, kumiliki kiwanja au nyumba, kuwa na biashara imara, kusomesha watoto, na kuwa na vitu vizuri...
  11. Fuatilia matumizi yako na ya nyumbani kwako kidijitali 2027

    Malengo ya kifedha yanahitaji nidhamu ya matumizi ya fedha na kupanga matumizi ya kila shilingi. Ili kufanya hivyo katika dunia ya sasa unahitaji zana za kisasa. Infinity Pesa Tracker ni application inayokuwezesha kufuatilia matumizi ya kila shilingi yako, kuweka malengo na kufuatilia hayo...
  12. L

    Ili Upate Leseni Ya Kampuni Yako Unahitaji Documents Hizi

    Habari Mjasiriamali, hapa nitaongelea wale waliosajili biashara zao au Kampuni zao Brela. Unahitaji documents hizi wakati wa kuomba leseni. 1. Mkataba wa pango Huu utaonesha location ya biashara yako na frame number. 2. Tax clearance Hii itaonesha kua ume clear kila kitu TRA na kwamba upo...
  13. Huwezi kujidanganya tatizo halipo ikiwa nafsi yako fika inajua kuwa kuna tatizo.🤔

    📖 2 TIMOTHEO 3:1–5 1. Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. 2. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi. 3. Wasiowapenda wa kwao...
  14. The future is borderless, hakikisha biashara yako ni borderless pia

    Dunia inabadilika kwa kasi. Leo, unaweza kuwa na biashara Tanzania, lakini wateja wako wakawa Kenya, Congo, Uganda, Marekani au nchi nyingine yoyote duniani. Teknolojia imeondoa mipaka mingi ya kibiashara. Huhitaji tena kuwa na fremu kubwa katikati ya jiji ili bidhaa au huduma zako ziweze...
  15. Je unajua unaweza kuchaguliwa na mizimu ya ukoo kubeba mikoba bila hiyari yako? Umejipangaje?

    Mizimu au majini ya ukoo ambayo yanabebwa na mababu, hao mababu wakifa huchagua yanayemtaka ili aendeleze kazi. Kuna jamaa nikikutana naye anasema yaani mstakabari wa kila mwanaukoo wao uko kwake. Kila wakikutana yeye ndio hutoa muongozo na maelekezo ya mababu. Yeye hakupenda ila mizimu...
  16. Wakati mwingine, ukimya ni hekima: tafuta pesa, ishi maisha yako!

  17. Maamuzi unayofanya leo ndiyo yanayojenga msingi wa maisha yako ya kesho/future.

    Kila hatua ndogo unayochukua sasa ina matokeo makubwa baadaye, iwe ni katika elimu, kazi, fedha, au mahusiano achana na mambo ya destiny na fate Usidharau steps zako sasa keep moving, focus Maamuzi yako ya sasa ndio yataamua uwe wapi baada ya miaka 5,10 au 20 kwenye maisha hakuna shortcut...
  18. Inaboa sana, lakini itafanya biashara yako iwe na maisha marefu!

    Kuna kitu kimoja ambacho wafanyabiashara wengi hawakipendi kufanya, lakini kina mchango mkubwa katika ukuaji na uendelevu wa biashara zao. Nacho ni kutengeneza maudhui (Content Creation) mara kwa mara kwa ajili ya kuitangaza biashara. Najua inachosha kila siku kufikiria cha kupost, kupiga picha...
  19. M

    Kwenu dada zetu, Mitandao inawaufundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini haitakufundisha jinsi ya kuishi na matokeo ya kupoteza ndoa yako.

    Mitandao inawajaza kiburi na kuwafundisha jinsi ya kuwashinda waume zenu, lakini kamwe haitawafundisha jinsi ya kuishi na upweke, aibu, na maumivu ya kupoteza ndoa zenu. Leo hii, magroup ya makungwi, podcasts za ovyo, na hao mnaowaita 'role models' waliofeli kwenye maisha yao ya ndoa ndiyo...
  20. UJUMBE MARIDHAWA UNAOMUHUSU KILA MWANAUME ANAYEJITAMBUA. PITIA KWA FAIDA YAKO.

    Katika kuzurura kwangu huku na huko mitandaoni, nikakutana na ujumbe mzuri ambao nahisi utakuwa Ni Elimu tosha kwa wanaume (hususani wanaoitwa "simps"). Si dhambi nikashea nanyi. ====================== Kwa Kiswahili! Kwa Masada wa AI WANAUME - ACHENI KUTUMIA PESA ZENU KUTATUA MATATIZO YOTE YA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…