Habari zenu wadau,
Nina serious issue, inanisumbuaga miaka nenda rudi, nashindwa kuelewa, whether ni uelewa wangu mdogo wa group za damu au la?
Ninaomba msaada kwa mtaalamu anayeweza kunidadavulia,nitashukuru sana.
Inawezekanaje Baba na Mama wote wakawa O positive na kuzaa mtoto mwenye damu A...