Mwaka 2023 Niliamua Nipige Chini Baadhi ya Social Media. Nikaanza na WhatsApp.
Lengo kubwa la kupiga chini WA ilikua ni kupoteza muda sana, Magroup ya Movies, Magari, Kazini, nk yalikua yananipotezea sana muda. Sana.
Nikaamkia na IG nayo nikapiga chini.
Sasa imepita miaka 3, Kuna faida na...
Hivi utajisikiaje ukawa na uwezo wa kutumia WhatsApp bila kila mtu unayewasiliana naye kujua namba yako ya simu! 👀
WhatsApp inafanyia majaribio mfumo mpya wa Phone Number Privacy unaolenga kuongeza ulinzi wa faragha kwa watumiaji.
💑 Ukiweka Everyone – Kila mtu anaweza kuona namba yako.
📞...
Wadau wa ukumbi huu naomba kuripoti whatsapp na facebook kama zimefungiwa au ni mitambo yangu tu
Natanguliza shukurani.
Updates ya kesi ya Lissu - bonyeza hapa
Ninawazo la biashara kwa dar es salaam maeneo ya mbezi, naishi mkoa wa dar es salaam, mbezi mwisho karibia...mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp, tufanye kazi
Hello Wana_JamiiForums.
Kwa sasa tunauza softcopies za vitabu mbalimbali. English & Swahili.
Endapo kuna vitabu (Softcopies/ pdf) unahitaji au umetafuta bila mafanikio tafadhali tuma ujumbe WhatsApp 0737317870.
Tutarecommend vitabu endapo huna uhakika na maarifa unayohitaji kupata.
Tutakuunga...
The Government is investigating reports of WhatsApp Business account takeovers and similar incidents affecting other Meta platforms. ICT Minister Tatenda Mavetera says a coordinated response is underway to address the reported incidents.
Zimbabwe’s Government has launched a coordinated investigation into a surge in reported WhatsApp Business account takeovers, raising concerns about cybersecurity vulnerabilities, financial fraud and the safety of digital communications.
The investigation involves the Ministry of Information...
Habari wakuu,
Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa WhatsApp Cloud API na Meta Developers.
Nimejaribu mara nyingi ku-set up WhatsApp Cloud API kwa matumizi yangu binafsi, lakini nimekwama kupata Access Token, Phone Number ID na App Secret kwa sababu Meta ime-restrict account yangu.
Niliomba...
Ni bora mawasiliano yakawa kwa njia ya call then physical.
Lakini kuchat na mpenzi wako whatsapp kunaharibu sana mahusiano.
Hiki nimeki observe kwa upande wangu.
Kuna wengine ni wazito kutumia hii mitandao , so blue tick na Grey tick hata kwa siku tatu zinaweza kubadili kwa kiasi kubwa...
Mtandao wa Whatsapp kwenye Android inaendelea kujaribu Bottom Navigation Bar mpya 👀📱
Awamu hii, Whatsapp inafanya mabadiliko ya kuondoa majina ya maandishi chini icons zake na kubaki na icons pekee plain Kuanzia Chats, Updates, Communities na Calls.
🎨 Lengo? Kuifanya WhatsApp ionekane...
WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto.
🔐 Wazazi wataweza kudhibiti nini?
👤 Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
Hello members,
Kuna huyu msichana nimekutana nae somewhere. Tumekuwa tukiwasiliana juu ya masuala mbali mbali ila nikaja kugundua anafaa kuwa mke. Ikabidi nianze kuomba appointment ila sikufanikiwa so nikamweleza kupitia WhatsApp jinsi ninavyompenda. Msichana kanambia tuzungumzie mambo mengine...
Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu 👋
WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili ⚡📱
Ukiwa unaangalia video, shikilia upande wa kulia wa screen ili video icheze kwa 2× speed. Ukiachia, itarudi kwenye...
Mawasiliano ya mtandao wa WhatsApp yalitumika kutuma mamia ya mamilioni ya euro kwa fedha taslimu duniani kote, yakichangia uhalifu uliopangwa na ugaidi bila kumbukumbu ya karatasi, imetolewa na uchunguzi uliofanywa na watangazaji barani Ulaya.
Mawasilinao ya kundi la watu 532, lililoitwa...
Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.
Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa kuwaletea ndejembi.
Huyu Ndejembi hata muonekano tu anaonekana atakuwa mtiifu kwa Samia tena ni hivi...
Leo ningependa kushiriki nanyi dondoo muhimu sana kuhusu usalama wa akaunti zetu za WhatsApp. Siku hizi, wadukuzi (hackers) hawatumii nguvu nyingi kuvunja mfumo wa ulinzi (encryption) wa WhatsApp, bali wanatumia mbinu za kilaghai (Social Engineering) kuwahadaa watumiaji.
Haya ni mambo muhimu...
Jana usiku saa 5 nilikuwa nashindwa kutuma picha, kila nikituma inaniandikia ''Retry'x
Je, kuna mtu anayepata ujumbe wa "Retry" anapojaribu kutuma picha kupitia WhatsApp?
Watumiaji wengi wameripoti hitilafu hiyo kuanzia jioni, ambapo picha na mafaili yanashindwa kutumwa huku baadhi ya ujumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.