wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Juzi nilimtumia Binti yangu mmoja mstari fulani kumkumbusha na wewe mtumie binti yako mstari huu umkumbumbushe

    Nimesikia kuna tukio limemtokea binti mmoja ambae alikutana na kijana wa hovyo Muhuni akamfanya nae mapenzi kisha akamchukua video huku akiwa anamfanya hicho kitendo bila kuona aibu. Kwa wakati huo naona wengi wamekua wakiongea kusema kijana amefanya tendo la uovu na haikua sawa au jambo sahihi...
  2. M

    Wenzako wanapiga dili haramu miaka hawadakwi, ila wewe unapiga dili moja au chache unakua mfano.

    kipindi wadogo wenzangu Kila siku walikuw wanaenda kuiba ndizi kwenye shamba la watu wanarud nazo ndoo imejaa tunakula lakini hiyo siku nilosema na Mimi niend kujarib nilidakwa wenzangu walikimbia 😂😂 nilipigwa na wakalipa wazazi wangu na nyumbani nikafika nikala za kutosha
  3. Jitu linajijua ni limchepuko(bidhaa ya magendo) halafu linadai nilipe HAKI. haki gani kiroboto wewe

    JITU LINAJIJUA NI LIMCHEPUKO(BIDHAA ya MAGENDO) ALAFU LINADAI NILIPE HAKI. HAKI GANI KIROBOTO WEWE. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Kwanza ujue wewe ni bidhaa ya magendo. Hilo liweke Akili. Kama uliwahi kuona Bangi inauzwa Famasi au Duka la dawa muhimu Dai haki zako. Mimi ni Mhuni kwako kwa...
  4. Kwa wewe ambae una uwakala wa fedha, unatumia mfumo gani wa kufunga hesabu yako kila siku?

    Kwa wale mnaoendesha biashara za uwakala wa fedha (M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa n.k.), mnatumia mfumo gani kurekodi na kufunga hesabu zenu za kila siku? Nimekuwa nikiwaza na kuumiza kichwa maana mambo siyaelewi kabisa naomba nilizie humu kwa wadau wenye biashara ya uwakala nyie...
  5. Wengine freshi tu wakiomba wanapewa, wewe sasa "boya" ukiomba unaambiwa mpaka ndoa

    Oyah, wengine bila hiyana wanapewa tunda, wewe sasa boya, ukiomba unaambiwa mpaka ndoa, mwanangu nakusanua, ukioa huyo umewaolea wajuba stuka. Ukiona kona kona nyingi za kupewa utelezi, kaa ukijua kuna mwamba anatunziwa akaichape, shauri yenu mnao oa wake za watu.
  6. Kama wewe Ni mtoto wa kiume Tena mpambanaji huwezi kufurahia kifungo cha Lissu....

    Wapambanaji tunapitia Mambo mengi Sana Hasa katika utafutaji, kumbuka gereza Halina mwenyewe.muda wowote unaweza ule unaweza kuwa mahabusu au mfungwa, ngoja niwape kisa kimoja kilichotokea mwaka 2017. Kuna Jamaa yangu alikuwa Ni Askari Polisi huko Kanda ya ziwa, huyu jamaa alipata ajira akiwa...
  7. Nakukumbusha , Mungu hana matumizi na Pesa ukitoa sadaka wanapokea watu kama mimi na wewe haiendi mbinguni

    https://www.instagram.com/reel/DIT_D7jt4KC/?dlrf=N3ZpMm5xOHN4OXpp
  8. Mauzinde: Manara wewe ndio usiongee kabisa tuna siri zako nyingi,nitakuchafua

    Baada ya Haji manara kukosoa sherehe iliyo fanywa na wapenzi wa jinsia moja ikiongozwa na Mauzinde, Sasa Mauzinde amemjibu Vikali. "Kwanza sisi hatuwezi kumzungumzia Dudu Baya Kwa sababu tunajua ana changamoto ya Afya ya akili yeye anaweza ongea chochote tulisha mzoea. Sasa nataka kuongea na...
  9. Baba Levo wewe pekee bungeni umeonekana ndio msomi

    Wandugu kitendo cha baba levo (mbunge kigoma) kufuatiria ujenzi wa uwanja uliojengwa kule arusha Uwanja huo umejengwa kwa gharama zaidi ya bilion 300. Sasa basi jamaa baba levo kaomba BOQ hii orodha ya vifaa na bei zake. Kimbembe kitaonekana namba zimeongezwa 0000 mbele ya gharama halisi...
  10. M

    “Kama Mungu aishivyo” Dhuluma hii itawatafuna hadi kizazi chenu cha nne

    Hana kosa la kustahili dhuluma hii. Mlishamfanya mlemavu kwa kosa la kupigania haki za watu. Amenusurika kifo kwa kosa la kupigania haki za watanzania. Mmemfunga jela kwa kosa la kutengeneza. “Kama Mungu aishivyo” atatenda kadri ya mapenzi yake. Mshahara wa dhambi ni mauti.
  11. K

    WEWE NI NANI? MWONGOZO WA KUJITAMBUA

    Kila mwanadamu anapozaliwa, akili yake ni kama karatasi nyeupe, au kwa maneno ya kifalsafa, ni "chombo kitupu" (empty vessel). Katika hatua hii ya mwanzo, hakuna mawazo ya awali, hakuna chuki, na hakuna imani zilizojengwa. Lakini, mara tu tunapoingia kwenye mfumo wa maisha, chombo hicho...
  12. K

    WEWE NI NANI? MWONGOZO WA KUJITAMBUA

    Kila mwanadamu anapozaliwa, akili yake ni kama karatasi nyeupe, au kwa maneno ya kifalsafa, ni "chombo kitupu" (empty vessel). Katika hatua hii ya mwanzo, hakuna mawazo ya awali, hakuna chuki, na hakuna imani zilizojengwa. Lakini, mara tu tunapoingia kwenye mfumo wa maisha, chombo hicho...
  13. Angalizo kesi ya Tundu Lissu: Mahakama Kuu isifanye kazi ya CCM

    Na. M. M. Mwanakijiji Chama cha Mapinduzi kiko katika matatizo makubwa sana. Chama hiki kinachounda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado kinaishi kwa fikra za kushika hatamu. Katika fikra hizi chama hiki hakikubali kuwa kiko kwenye matatizo makubwa. Tatizo lake kubwa ni jinsi gani...
  14. Kwanini wachawi hawawezi ingia strong room ya benki wakachote pesa ila wanakufuatilia wewe unaelala na madumu ya maji, mandoo na gesi chumbani kimoja

    Waturutumbi jibuni maswali simple Kwanini mnawaonea sana watu wenye uchumi wa mandoo ndoo.
  15. B

    Wanaume ushawahi kuwa kwenye mahusiano na mdada ambae unaona yupo na wewe kimwili, ila kimoyo hayupo na wewe?

    Habarini, Unakuwa kwenye relationship na mdada, ila unahisi uko lonely kwenye hio relationship, papuchi unapewa, ila ukiongea na huyo mdada unaona kabisa kwenye maono ya kimaisha ya huyo mdada, wewe mwanaume haupo. Unaona kabisa hapa unapewa papuchi kwasababu yupo desperate kipesa, ila angekua...
  16. Wewe kijana Acha Upuuzi wa Kupoteza Muda, Amka Upige Pesa!

    wanangu, hebu tusidanganyane hapa mtaani. Maisha ya sasa hayana pause wala rewatch, yanakwenda mbio kuliko sana. Unajikuta kijana unakomaa kutwa nzima kwenye vijiwe vya kahawa unajadili mipango ya mpira au unapoteza data kusubiri miujiza kwenye mitandao ya kijamii wakati mfuko wako unasoma zero...
  17. Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  18. M

    Kaa ukijua malipo yapo. Unavyowatesa wengine yatakurudia wewe, na yasipokupata, kizazi chako hakitapata amani kikikutana na kizazi cha uliowatesa

    Kaa ukijua kuwa malipo yapo duniani. Unavyowatesa wengine leo, kuna siku unaweza kukutana na matokeo ya matendo yako. Na kama wewe hutayashuhudia, huenda kizazi chako kikakutana na matokeo ya maumivu uliyowasababishia wengine. Usimdharau mtu kwa sababu leo hana nguvu ya kukulipa. Usimnyanyase...
  19. Ukigombana na mke au mpenzi wako. Kisha wewe ukaamua kuumaliza ugomvi vipi huwa unafanikiwa?

    Iko hivi kuna wakati ukitokea ugomvi mimi na mke wangu haijalishi ni mm nimekosa au yeye kakosea ila nikisema ninchukie au nisimsemeshe hata wiki yeye naona wala hajali japo anateseka moyoni. Ila nikisema niumalize ugomvi siku hiyo hiyo au hata tumegombana usiku kisha nikasema nataka tupatane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…