wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ashtakiwa na wazazi kwa kucheza mpira kuzidi watoto wengine

    https://x.com/abcworldnews/status/2115178332245598570?s=12 https://x.com/roxie_ug/status/2115080042615050247?s=12 https://x.com/mymixtapez/status/2114755768641565116?s=12 Mtoto mmoja wa umri wa miaka mitatu (3) Nevada Don Pierre wa Florida, US ameshtakiwa na wazazi wa watoto wenzake kwa...
  2. Wengine waliongea nini na Mungu wakiwa tumboni hadi wakazaliwa familia yenye watu wenye majina makubwa?

    Hivi ulishawahi kujiuliza wengine wanafanyafanyaje wanajikuta wamezaliwa katika familia ya watu wazito na kwanini familia zingine kila mtu ni masikini na familia zingine mtu anazaliwa anakuta ana ndugu matajiri watu wenye vyeo vikubwa? Mimi najiuliza hivi wengine tulimkosea nini Mungu? Sisi...
  3. Kafulila: Wawekezaji Wazingatie Haki za Watanzania, Wanaodhulumiwa Wasikae Kimya watoe taarifa | Sera ya Tanzania inamtambulisha Mtanzania kwanza,

    Wasalaam Jf, Tuendelee kumsikiliza mtaalamu wa PPPs na nondo zake kalikali. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, amesisitiza umuhimu wa kuwapa kipaumbele wafanyabiashara na wawekezaji wa ndani, akieleza kuwa wawekezaji wa kigeni wanapaswa kuja nchini kwa...
  4. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine

    Naumia sana. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine. Mara asema Anakuja kunitembelea kumbe ni kunipeleleza ili apate cha kuwaambia ndugu zangu. Ndugu zangu hawapendi kabisa kuona napiga hatua yoyote tangu nikiwa mdogo hadi leo. Wanatamani niishie kuwa...
  5. Katika Dunia hii ukianza kujifurahisha, na kuacha kuwafurahishwa wengine unaonekana kama umerukwa na akili, mwaka 2010 niliitwa kichaa 😅

    Mwaka 2010, nilipata funzo kuwa ukiwa umenyooka kama rula unaoneka kichaa machoni pa watu. Yako mengi niliyafanya kuninufaisha pasipo kuingilia ya wengine. Kwa mfano, mwaka ule nilikuwa ninaweza kumtongoza mwanamke, akinikubalia nalala naye, nikisharidhika hata kama ni ndani ya dakika Moja...
  6. M

    Kihongosi: wengine wanasema CCM ni chama cha wazee, ila hiki ni chama cha rika zote

    "Wengine wanasema Chama cha Mapinduzi ni chama cha wazee, waambie ndiyo hiki ni chama cha wazee na rika zote na hakibagui mtu yeyote. Hawa wazee walikuwa vijana wa zamani, na walikuwa vijana machachali kuliko hata sisi. Hata mimi baada ya mika 20, 30 nitazeeka, nitaitwa mzee, uzee haukwepeki."...
  7. Watumishi wa Taasisi Zenye Majina Makubwa Serikalini Wana Maisha Magumu Sana Kwa Sasa, Waliopo Halmashauri Wengine Wanawazidi Maisha

    kuna jambo nimeliona katika hii miaka miwili ya fedha ya 2025 na 2026, sijui nini kimetokea kwenye baadhi ya taasisi za Serikali, lakini hali ya ukata ni ya kutisha sana. Kuna taasisi ukisikia jina lake unaweza kudhani watumishi wake wanakula mema ya nchi. Unasikia mtu anafanya kazi kwenye...
  8. Jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa kike miaka mitano huko Moshi na wengine watano wakila miaka 30 jela akiwamo wa dawa za kulevya

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
  9. Wengine wanavuna asali, wengine wanatengeneza pesa kwa kuiuza — wewe upo upande gani?

    Je, unajua kwamba unaweza kuingiza kipato kizuri kupitia biashara ya asali hata kama humiliki mzinga mmoja wa nyuki? Hebu fikiria jambo hili. Mfanyabiashara mmoja ananunua asali kutoka kwa wafugaji wa nyuki mkoani Tabora, anaichuja, anaifungasha vizuri kwenye chupa zenye lebo, kisha anaiuza...
  10. kuna watu wanajiona wakamilifu kama wao wapo zaidi ya wengine.

    Hii tabia nimeona sana kwa watu hawa. Mtumiaji wa soda ni hakimu wa mtumiaji wa pombe. Mwenye imani tofauti na mwenzake ni adui yake. Maskini ni adui wa tajiri na tajiri ni adui wa maskini.
  11. Kuna watu wengine wameacha kabisa kwenda kuwatembelea ndugu

    Ndio . Kuna ambao kabisa wameacha kwenda kuwatembelea ndugu kama aunties, uncle n.k . Kwa sababu muda mwingine wakienda kuwatembelea hawa wajomba na mashangazi ,zile kumbukumbu za maumivu ya utotoni (childhood traumas) walizozipitia wakiwa huko kwa akina ndugu zinajirudia na kuleta Hali ya...
  12. Unachokidharau, ndoto ya wengine

    Mahali ulikopachoka na unawaza kuacha kazi kwa notisi ya saa 24, mwingine ndio anaomba Mungu amsikie apate hapo kazi ya ndoto zake. Mpenzi unayemfanyia vituko ukitafuta kila sababu ya kuwa mbali naye msionane, mwingine hapati usingizi akimsihi Mungu ajibu maombi yake. Unapambana kutokula kwa...
  13. Usijilinganishe na watu wengine. Ishi maisha yako, kuwa na shukrani

    Apply hizo vitu mbili hapo kwenye maisha yako after a few days utaona maana halisi ya maisha. Usiji-compare na watu wengine Ooh mbona fulani ana maisha mazuri,ana gari zuri,ana kazi nzuri,yuko na biashara ya kutisha stop that madness ishi maisha yako shukuru kwa kile ulichonacho. #StressFreeZone
  14. Viongozi Wajenga Viwanja, Wengine Msikiti wa Bilioni

    Tumeona Majaliwa kajenga kiwanja cha mpira kwao , biteko pia kajenga kiwanja cha mpira kwao Vipi kuhusu uyu jamaa anayetaka kujenga msikiti wa bilioni 21? Na yeye kuna kitu chochote alichokifanya kwao? Maana tunaona tu mtandaon watu wa kwao wanavyolialia Oooh Mwanza hatuna barabara mara ooh...
  15. Wale wengine wanne waliofariki kwenye helkopta, wanazikwa lini?

    Hatuwasikii kabisa, au walishazikwa tayari? Wenye majibu watusaidie. Nipo hapa kwenye kijiwe cha kahawa, tumekosa majibu.
  16. L

    Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  17. Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

    That's why hata idadi ya wanawake Kwa mwanaume ni ratio ya 4 Kwa 1 , I mean wanawake wanne Kwa mwanaume mmoja . Wanawake wengine si wa kuoa na KUZAA .
  18. S

    Wabongo wengi kulazimisha wengine kufanana nao kwenye burudani (hususani mziki)

    Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu. Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha, violence, Babylon system inavyotreat watu. Yaani ukiingia getoni kwangu, ni mwendo wa gangsta tracks za...
  19. MJADALA: Kwa Nini Fally Ipupa Anashindana Na Yeye Mwenyewe Na Si Wasanii Wengine?

    Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mwenendo wa kimuziki wa Fally Ipupa "El Maravilloso". Tangu alipotoa "Maria PM"—wimbo uliokuwa hit kubwa sana barani Afrika na duniani kote—na baadaye kuja na mradi mwingine mkubwa wa "Mayday", kumekuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…