wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AXIOM APEX VERBOSE

    Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine

    Kujipenda wewe kwanza ni msingi wa uwezo wako wa kupenda wengine kwa namna iliyo bora, yenye ukomavu, na isiyochosha. Huwezi kumpa mtu mwingine maji kutoka kwenye chombo kilicho tupu; unapojijaza upendo, heshima, na utulivu, unakuwa na akiba ya kutosha na yenye afya ya kushirikisha wengine...
  2. ShesRise_1

    Matarajio yetu kwa wengine yanaposhindwa kutimia: Tunakabiliana nayo vipi?

    Nini hutokea pale matarajio yetu kwa watu wengine yanaposhindwa kutimia? Wewe mdau una uzoefu ? Share nasi tupate kujifunza Nitaanza mimi mtazamo wangu kuhusu hilo na ninavyolielewa jambo hili 👇 Tunapoweka matarajio kwa mtu,watu kwa namna fulani tunakuwa tumejenga picha fulani kuhusu nafasi...
  3. M

    Ina maama Rto Yusuph Kamota wa Dodoma yupo makini na anachapa kazi kuliko MaRTO wengine wa mikoa mingine?

    Najiuliza sana juu utendaji kazi na uchapa kazi wa huyu RTO wa mkoa Dodoma. Anafanya kazi nzuri na mchapa kazi mkubwa. Haiwezekani basi la abiria libebe abiria Mwanafunzi akalipishwa nauli ya kutoka mkoa kama Kagera kwenda Dar. Basi alilopanda mwananfunzi huyo alafu likatize mikoa mitano alafu...
  4. C

    Ufaransa: Moto wateketeza jengo, Moja afariki na wengine 30 wajeruhiwa

    Mtu mmoja amefariki dunia na wengine takribani 30 kujeruhiwa, wakiwemo wazima moto 15, kufuatia moto mkubwa ulioteketeza sehemu ya jengo la makazi katika mji wa Fontenay-sous-Bois, eneo la Val-de-Marne, mashariki mwa jiji la Paris nchini Ufaransa. Moto huo ulizuka Alhamisi, Novemba 19, 2026...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Mke wangu hana shida mimi kuongeza Wake wengine wa kumsaidia. Ila amenipa vigezo vya mke anayemhitaji kama ifuatavyo;

    Habari za leo! Kabla ya kumuoa mke wangu nilimwambia tangu huko yaani hata kabla hatujajuana kimwili. Nikamwambia kwamba sisi Watibeli kuoa wake wengi ni jambo la kawaida. Hivyo ajue mapema. Kama atakubali kuwa na mimi basi ajue hilo. Kama hatakubali kila mtu apite hivi. Nikampa muda wa...
  6. Gunner11

    Moja ya kitu kinacho umiza ni kuishi maisha ya watu wengine

    Binafsi nilipoteza ama tuseme nimepoteza a first quarter of my life, kuishi maisha ni siyo yataka. Baada ya kujikuta naumza nafsi yangu miaka nenda rudi, ndipo nilijikuta narudi kwenye ukweli Mchungu kuwa.. No amount of external wealth can quench inner thirst. Hivi, umeshawahi kujiuliza...
  7. Sister Abigail

    Wazazi wengi wa kiafrika hawajui kuset parental control kwenye vifaa vya na wengine hawaijui kabisa

    Hii nimeona mahali pengi,wenzenu wameadvance hata wakimnunulia mtoto smartphone wanaenda kwenye settings kipengele Cha parental control,wanaset Kwa kadri ya umri wa mtoto anaetumia hiyo device,maudhui atakayoyaona yaendane na umri wake.Hata applications pia Zina parental control kuonyesha...
  8. K

    Ushawahi kuonekana mahali ukawa surprise kwa wengine?

    Asallalleh................... Wakuu mimi ilikuwa Ijumaa baada ya kutoka kazini ikabidi niende nikajipoze na bia 2&3 hivi sasa cha ajabu hapa mtaani kaunta ipo kwa nje. Sasa bana si akapita boss wangu wapo na jamaa tunafanya naye kazi hapo ofisini halafu anakuwaga snitch kinoma yaani. Alivyo...
  9. secretarybird

    Wafungwa wana hamu ya mapenzi kama binadamu wengine: Suluhisho ni nini?

    Nadhani hapa Tanzania Conjugal visits hairuhusiwi. Je, suluhisho ni nini? Niaonavyo, kwa mwanaume kuukwea mnazi kwa kono moja ndiyo namna pekee ya kuikata ashiki ukiwa mjela jela. Hii ni ngori! 🥲 Mbaga Jr, Dr am 4 real PhD, Monetary doctor.
  10. BIOTOXINS

    Yoga yupo wapi au kuna wengine

    Yupo wapi yoga ,au wengine ? Namkumbuka sana na Uzi wake hatari Dark d 2 Wewe utakumbukwa kwa lipi Au kwa kudai bikra Lakin Kuna wengine maarufu hawapo na wapo wapi Kuteta cyo nongwa Tafakari,chukua hatua
  11. BM256

    Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk

    Tunauza vifaa vya umeme bei rahisi kuliko wafanyabiashara wengine woteee;TV, washing machine, fridge, freezer, AC, nk Bei nimenyooka na hakuna free delivery . Tupo kariakoo Magila na likoma. Check 0745588735 Whatsapp utahudumiwa haraka zaidi
  12. Allen Kilewella

    Kwanini mila, desturi na tamaduni zetu Waafrika si za kiulimwengu?

    Ukimuuliza muafrika ni kwa nini anao wake wanne atakwambia yeye ni muislam dini yake inamruhusu. Lakini hapo hapo kuna anayeoa mke mmoja anasema yeye ukristo wake unamkataza. Majina yetu, kula yetu na mpaka wakati mwingine kufikiri kwetu kumeathiriwa sana na mila, desturi na tamaduni za watu...
  13. Expensive life

    Wengine freshi tu wakiomba wanapewa, wewe sasa "boya" ukiomba unaambiwa mpaka ndoa

    Oyah, wengine bila hiyana wanapewa tunda, wewe sasa boya, ukiomba unaambiwa mpaka ndoa, mwanangu nakusanua, ukioa huyo umewaolea wajuba stuka. Ukiona kona kona nyingi za kupewa utelezi, kaa ukijua kuna mwamba anatunziwa akaichape, shauri yenu mnao oa wake za watu.
  14. S

    Kuishi na ndugu (hata watu wengine) ni kazi sana aisee!

    Udugu udugu jamani Africa unaturudusha nyuma sana kinaendeleo (wazo langu jamani) Jamani ndugu zangu ninaomba mawazo yenu pia kwa hili swali langu: Hivi inakuaje mtu mara nyingi anapokuwa na maisha mazuri, waliomzunguka au ndugu zake wanamthamini sana na wapo tayari kuwa naye muda wowote lakini...
  15. N

    VIDEO: Hili shangwe la Shaka!! Shaka Hamdu!! Shaka!! linatupa picha gani sisi wengine wenye mamlaka?

    Maana halisi ya kiongozi ni mtu anayewaongoza, kuwaelekeza, kuwahamasisha na kuwajibika kwa ajili ya watu anaowaongoza ili kufikia lengo au maono fulani. Kiongozi si mtu mwenye cheo au mamlaka tu, bali ni mtu mwenye uwezo wa kuonyesha njia, kutoa mfano mzuri na kubeba wajibu wa maamuzi yake...
  16. youngkato

    Wakati wengine wanaona soda na maandazi kama vitu vidogo vya matumizi ya kila siku, mjasiriamali mwenye mipango anaweza kuona fursa ya kujenga

    " Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao. Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
  17. Moto wa volcano

    Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima , wengine ukiwapenda wanakuzawadia dharau

    Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima . Wengine ukiwafanyia hivo wanakuzawadia dharau , chagua watu wakuwaheshimu na watu wakuwapenda .
  18. Moto wa volcano

    Tambua Harusi yako ni ratiba yako sio ya watu wengine , usikasirike mtu asipohudhuria

    https://www.instagram.com/reel/DfMCitbtkdX/?dlrf=Y2prNXZxcGthb3J2
  19. Gunner11

    System haikutengenezwa kutukomboa, bali kutufanya watumwa

    Since a kid, used to feel like an outsider. Baada ya kujaribu ku fit in, naona imegoma kabisa. Unafanya kazi, mifumo inakufanya soul yako ijihisi kama iko kifungoni. Unajaribu kukaza, una burn out, ila utafanya je sasa, na hauja zaliwa na kuna MO, bakhresa? Kweli, the system wasn't...
  20. M

    Kaa ukijua malipo yapo. Unavyowatesa wengine yatakurudia wewe, na yasipokupata, kizazi chako hakitapata amani kikikutana na kizazi cha uliowatesa

    Kaa ukijua kuwa malipo yapo duniani. Unavyowatesa wengine leo, kuna siku unaweza kukutana na matokeo ya matendo yako. Na kama wewe hutayashuhudia, huenda kizazi chako kikakutana na matokeo ya maumivu uliyowasababishia wengine. Usimdharau mtu kwa sababu leo hana nguvu ya kukulipa. Usimnyanyase...
Back
Top Bottom