Ukikata ticket ya SGR siku moja kabla mf. Dodoma Dar, treni zote unakuta No seat available, ila ukijaribu Dodoma- Moro unakuta siti kibao wazi. Abiria wa Morogoro ni wengi sana. Nashauri waongezewe treni zao za kuishia Moro ili tusikose nafasi za moja kwa moja kwenda Dar na kumbe wanaojaza...
Je ni uvivu wa kusoma au ni spana
maana miaka ya nyuma nili wafundisha baadhi ya watu kwa wakati tofauti tofauti jinsi ya kutumia Jf na kuwafungulia ID ila baada ya muda wakakimbia sikujua sababu hasa ni nini
Kesi zinazotrend kwa sasa ni tatu. Ya kwanza ni ya jamaa aitwaye Kelvin aliyekamatwa akifanya mapenzi na mtoto (binti wa chini ya miaka 18) ambapo kisheria inahesabika ni kumbaka. Ambapo kosa lake la pili ni kusambaza hiyo video chafu mtandaoni. Cha kushangaza watu wengi wanamtetea mtuhumiwa...
Kuna kitu kimoja watu wengi husahau wakiweka CCTV — na mimi nimeona wateja kadhaa wakiumia kwa sababu hiyo hiyo. Unaweka kamera nzuri, DVR nzuri, kila kitu kinafanya kazi. Lakini umeme ukikatika (na sote tunajua hali ya umeme ilivyo), mfumo mzima unazima. Kamera zinalala. Na mara nyingi, ni saa...
Yaani hata ukijikuta umeshataja neno bikra (kama ajali) basi malizia kwa kusema Maria, la sivyo kuna watu wataona unawananga.
Hivyo, nakuasa usipendelee kulitaja neno hili uwapo karibu na watoto wa kike, kwa maaa utafanya mioyo yao ianze kudunda kwa kasi kubwa sana.
Nasanzuka.
Kuna watoto wengi sana duniani ambao hawakuchagua kuwa makahaba, wezi, majambazi, watumiaji wa mihadarati au watu wanaoishi maisha ya hatari. Lakini mazingira waliyokulia yaliwafanya waone hizo ndizo njia pekee zilizobaki za kuishi.
Fikiria mtoto anayekulia kwenye familia ambayo haina uhakika...
Wanajukwaa, mambo yanazidi kuwa mengi na mitandao inajaa vituko. Katika video inayozunguka mitandaoni kutoka katika kanisa linalohusishwa na Mchungaji Victor Kanyari (Salvation Healing Ministry), limeonekana tukio la aina yake ambapo badala ya sifa na kuabudu za kawaida, kanisa limgeuzwa kuwa...
Toka mmeanza mahusiano mpk yanakufa ni mizinga tu, hivi nyie wadada wa Kitanzania mnajitambua kweli? Jifunzeni kuwa na mindset tegemezi itawasaidia maishani, acheni cheap cheap things, utofauti wenu na matonya ni upi?
GANJI.
Hello Great Thinkers , My name is Adriz Mr Justice , My friends call me a Consigliere.
Ni kawaida sana na rahisi sana mtu ukimchokoza au akitaka kukukera anakutukana matusi mabaya kuelekea kwa Mama yako Mzazi ndio maana tusi maarufu sana bongo ni "Kmkm" ""...la Mama yako" nk lakini upande wa...
Ngoja niwasanue wanaume wenzangu leo.
Hakikisha hauingii kwenye mahusiano kama unajua fika kuwa hauna "the upper hand", yaani kama hauna maokoto usidiriki kuchase mwanamke.
Tunaishi katika jamii ambayo survival ime base kwenye hela.. Yaani mwanamke hawezi kuishi na mwanaume mwenye hali ya...
Hizi ID zinaficha mengi ila waislamu wametumiwa kama kinga ya CCM na hususani Tanganyika ila kama mtakataa kuna mapendekezo samia kubaki mpaka kufa kwake.
Maana yake kutoweza kushtakiwa wala kufungwa kama alivyo Museveni.
BAADA ya watu wengi kulaani kufungwa miaka Minne Jela Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Tundu Lissu Kwa kosa la uchochezi wakati alipewa kesi ya Uhaini ambayo Kwa mujibu wa MahakamanMashahidi walishindwa kuthibitisha.
Wakili wa Serikali Addo MWASONGWE amechapisha...
J
Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo.
Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
Marais wajao wa kiislam wenye nafasi kubwa ya kuteuliwa ndani ya CCM iwe Tanzania kiujumla au Zanzibar wametoka kwenye familia za viongozi wakubwa
Baadhi ya majimbo ni wanafamilia tu hugombea, kama umetoka hayo majimbo tafuta nafasi nyingine
Wanafamilia hupewa vyeo vikubwa
Jaji mkuu kwa Watanzania wengi anaonekana kama Boya na mlalamishi tu!. Huwezi kumlinganisha na watangulizi wake mtu pekee ambaye ni boya kama yeye ni mswahili wa tanga Jaji Mohamed Chande Othman . Badala ya kufanya kazi analalamikia majaji wengine
Mzee Alute Lissu Katika mahojianoyake na THE CHANZO,alisema tunapata aina ya viongozi wanoendana na sisi,hivyo hulka na aina ya viongozi tulio nao ni aina ya watu wengi katika jamimi,viongozi type ya Bi msumi,Madilu ndio aina ya watu waiojaa mitaani.
Kama ingekuwa tofauti basi tusingekuwa na...
Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile
George Jackson David
Aisha Muhammad Nurdin
Uhuru Baraka Amani
Judith Christopher Benard
Salehe Abdul Ally
kunafuta utambulisho wa asili na...
Waziri wa wizara ya vijana, pole Kaka vijana wa mjini wamekuingiza chaka.
Waziri wa kilimo Bashiru wewe umepigwa chenga la mwili linaitwa mwana ukome na utakomeshwa.
Ila vijana wa umoja wa vijana ccm Mungu anawaona kwa ili tunawashukuru
==
"kuna zaidi ya bilioni 120.48 zimetolewa kwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.