Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.
Kwako Rais wetu tunaekuamini.
Sisi ni wakazi wa Dar es Salaam ambao asili yetu ni Moshi katika Mkoa wa Kilimanjaro ambao tunakuja kwako na kero yetu kubwa na ya muda mrefu.
Kwanza kabisa sababu ya kukuandikia waraka huu ni kwa vile wewe ni mkweli haswa pale linapokuja swala linalowakera...
Hili limethibitishwa, kwamba TAKUKURU, TISS na hata Polisi hawatilii maanani tena kufuatilia au kutoa taarifa kwa mamlaka ya juu nchini kuhusu wizi na ufisadi mkubwa unaofanyika nchini, iwe na watu wa ndani au wa nje.
Kuna mtu nilipogusia kwake jambo hili kupata maoni yake aliniangalia usoni...
24 November 2026
RELI ya TAZARA Yapokea shehena mabehewa ya wazi (kama ya trailers) aina ya flatcars 300 ya Kutoka China yanayoweza kubeba container mbili mbili
Mabehewa ya mizigo kwa ajili ya ufufuaji wa reli ya TAZARA wa kilomita 1,860.5 ylikabidhiwa huko Dalian kama sehemu ya ufufuaji...
Diwani wa Kata ya Njombe Mjini, wilayani Njombe, Deo Mazao, amesema halmashauri hiyo inaanzisha msako na doria za usiku kuwabaini watu wanaofanya vitendo vya ngono katika maeneo ya wazi, yakiwemo vichochoro na pembezoni mwa nyumba.
Mazao ameyasema hayo baada ya kikao cha Baraza la Madiwani la...
Hoja kubwa inayosemwa ni viboko vikiondolewa tutaleta kizazi cha ovyo, Huyo mtoto anazaliwa akiwa ovyo au jamii ndio imamtengeza awe ovyo!? baadae ndio fimbo imrekebishe?
Hawa viongozi wa sasa na watumishi serikalini ni wazi wamesom zama za viboko ni kitu gani viboko vimeongeza katika uadirifu wao?.
Marais wajao wa kiislam wenye nafasi kubwa ya kuteuliwa ndani ya CCM iwe Tanzania kiujumla au Zanzibar wametoka kwenye familia za viongozi wakubwa
Baadhi ya majimbo ni wanafamilia tu hugombea, kama umetoka hayo majimbo tafuta nafasi nyingine
Wanafamilia hupewa vyeo vikubwa
Hakuna maajqbu mengine kwa mwenye macho ameona na mwenye masikio amesikia. Ushahidi uliopo sio wa kutafuta kwa tochi. Lissu alitamka wazi mchana hadharani kuwa " lazima tutafanya uasi/ tutavuruga huu uchaguzi".
Tunacho kisubiria leo hii trh 6/11 ni adhabu itakayo tolewa na mahakama, kunyongwa...
Tunaomba mahakama itende haki katika hili. Haki ina pande mbli. Negative au positive kutokana na perception. But all in all fairness au equitable decision does not mean favour. One reaps what he/she has sown
Tunaomba mahakama itende haki katika hili. Haki ina pande mbli. Negative au positive kutokana na perception. But all in all fairness au equitable decision does not mean favour. One reaps what he/she has sown
Ndugu zangu Watanzania,
Lema ameongea ukweli Mchungu sana siku ya leo kwa kuonyesha namna wanaharakati uchwara akina Mange Kimambi na akina Maria Sarungi wamekuwa wakifanya uchochezi kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini huku wao wakijificha huko waliko ambako wanalishwa kama Makinda ya...
Mafundisho ya Yesu ni yenye Nguvu mno tofauti na tunavyofikiri. Vitabu vyote vinamtambua kama Neno la Mungu (John 1:1; Quran 4:171) na Mtume pekee yake ambaye hakuwa na dhambi na maisha yake yote hakufanya dhambi (Luka 1:35; Quran 19:19) Mtume pekee aliyefanya miujiza hata kufufua watu (Quran...
Kwa: Mamlaka Husika (TAKUKURU, TAMISEMI na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga)
Ninaomba mamlaka husika ifuatilie na kuchunguza malalamiko kuhusu Shule ya Sekondari Kazole, iliyopo mkoani Pwani, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga.
Kwa mujibu wa malalamiko haya...
Anonymous
Thread
fomu
kazole
mkoa
mkoa wa pwani
pwani
rushwa
saini
sekondari
shule
shule ya sekondari
walimu
wazi
wilaya
Ndugu zangu Watanzania,
Tulishasema sana na nilishasema wazi kabisa huku Jukwaani Ya Kuwa Lissu hapaswi kuwepo Uraiani katika Siku zake zilizo salia Hapa Duniani. Lissu anastahili Adhabu kali sana itakayo kuwa Fundisho Kwa Wavunja sheria wa hapa Nchini.
Lissu anastahili Adhabu ambayo itabakia...
Mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa baa za Kitambaa Cheupe, Jeska Kikumbi, amefunguka kuhusu sababu zinazowafanya watu kumhusisha kimapenzi na mfanyabiashara mwenzake, Fredi Ngajilo maarufu kama Fredi Vunjabei, huku akieleza msimamo wake kuhusu suala hilo.
Jeska amezungumzia mada hiyo...
Hahaha, hii ndiyo Tanzania bana kubabeki, raha tupu! Tumempokea Jihan, tumeshangilia ushindi wake na kusema huyu ni wetu, Tanzania imetisha Wale wasiopenda unity watajaza nafasi zilizo wazi wenyewe sisi tumepitisha, na tunampenda mwenzetu pamoja na nchi yetu.
Sisi tunaitangaza Tanzania kwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema hatakimbia nchi licha ya madai ya kuwepo kwa mipango ya kufunguliwa kesi, akisisitiza kuwa yuko tayari kufa akipigania demokrasia na mabadiliko ya nchi.
Heche ameyasema hayo leo Ijumaa Oktoba 16, 2026 mjini...
https://www.facebook.com/share/v/1FHUuAKTYz/
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema taasisi hiyo inakabiliwa na mashambulizi ya wazi kutoka kwa watawala, kauli hiyo ameitoa muda mfupi baada ya kuitikia wito wa polisi.
Kauli hiyo inakuja siku chache...
Hamjambo!
Unajua kabisa. Rafiki yako. Unayemuamini. Unayemuambia siri zako. Anayejua mambo yako.
Ukamkuta anayembea na mke au mume wa mtu.
Tena mnapiga na stori kabisa. Inawezakuwa unamwambia anafanya ndivyo sivyo.
My friend. Huyo sio Rafiki. Sisi Watibeli. Wazee wa kazi. Wanasaikolojia...
Ishara kwamba pengine hutazaliwa tena upya (hutaingia kwenye mzunguko mwingine wa roho) Reincarnation...
1. Hukuwahi kupata watoto, na wala hukuwa na hamu nao kabisa. Hukuona sababu ya kuacha uzao nyuma yako ili kuthibitisha kuwa umetimiza yaliyokuleta duniani.
Ni kana kwamba mikosi, laana, au...
Kuna Mkabulu anaitwa JP La Grange ni raia wa South Africa na ni Workshop Manager Kwenye Kampuni ya Maendeleo Technologies Limited inayofanya kazi kwenye Mgodi wa POLYGOLD CO. LTD unaopatikana Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara, Kijiji cha Seka, Kata ya Nyamrandirira.
Huyu mzungu ubaguzi anaofanya...
Anonymous
Thread
anafanya
changamoto
habari
kubwa
maendeleo
mgodi
musoma
sana
technology
ubaguzi
wafanyakazi
wazawa
wazi
wilaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.