wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. AXIOM APEX VERBOSE

    Swali: Kwanini Wanawake wa Kipare wanajiona wao ndio wana Soko kubwa sana kwenye Mahusiano tofauti na Wanawake wa Kichagga?

    Hilo ni swali mezani wakuu. Nawauliza kutokana na kile ninachokiona kwa macho yangu mawili, why mabinti wa kipare wanajiona kwamba wao ndio wana soko kubwa sana linapokuja suala zima la mahusiano ni kama kwamba wao ndio namba #1 kisha wengine wanafuata, nini sababu? Hii nazungumzia kwa...
  2. Breaking bad

    Wavutiwa na siasa za nchi gani kana kwamba ungependa nchi yetu iwe kama wao ?

    Eti wadau tiririkeni hapa. Kwa malalamiko yetu ya kila siku dhidi ya ccm na siasa zetu, ungependa nchi yetu iwe na siasa kama za nchi gani duniani na kwa sababu zipi?
  3. A

    KERO Kituo cha SGR – Dar kitengewe sehemu ya madereva kuchukua abiria wao, kulipia buku hata kama unapita tu si sawa

    Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi ni madereva wa mtandaoni na pale tunapita tu siyo kwamba tunaenda kuegesha vyombo vyetu. Namaanisha...
  4. R

    Mwananchi: Hatutaki fidia, Tunataka Serikali ya Samia iondoke madarakani, kama wanaweza waturudishie roho za watoto wetu

    Wakuu, Nimekutana na hii sauti Mtandaoni inayoumiza sana namna huyu mama anauchungu moyoni mwake, Iko hivi, tukisema turidhiane na kulipa fidia huu siyo uponyaji kwa Taifa na wakati wote hata kabla ya ripoti ya chande tayari seriakli inafahamu nini wananchi wanakitaka Wananchi wanataka...
  5. A

    KERO Mkoa wa Geita wafanyakazi wa mkataba mradi wa UKIMWI hawalipwi kwa wakati kila mwezi

    Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama umeshindwa acha kazi ambacho sio jambo jema
  6. A

    KERO Wasimamizi Interview: Kelele zinatufelisha

    Napenda kutoa dukuduku langu, yaani hawa wasimamizi wa written interviews za utumishi baadhi yao wanasababisha watu wanafeli yaani mshaanza wao ni kelele.
  7. L

    Upendo na Moyo Wa Huruma: Rais Samia Amsaidia Profesa J Million 30. Asema anafuatilia Kwa Karibu maendeleo yake kiafya. CHADEMA wao ni Majungu tu

    Ndugu zangu Watanzania , Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais Samia hapa Duniani ni Kwa ajili ya Kugusa watu. Anaishi kwa ajili ya kusaidia watu. Amefanyika Baraka...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Mabinti waambiwe ukweli serikali haitakuwa na muda wa kushughulikia ujinga na uzembe wao watakapozalishwa na wanaume wapenda uzinzi. Hasa mabinti mask

    MABINTI WAAMBIWE UKWELI SERIKALI HAITAKUWA NA MUDA WA KUSHUGHULIKIA UJINGA NA UZEMBE WAO WATAKAPOZALISHWA NA WANAUME WAPENDA UZINZI. HASA MABINTI MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Baba 1. Hakuna cha huruma hapa. Binti Yangu hakuna wa kukuonea huruma dunia hii. Kama hutojionea huruma...
  9. X

    Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

    Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani. Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi. China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
  10. A

    KERO Wachina wa Global Aluminium Ltd cha Kibaha – Zogowale wananyanyasa wafanyakazi wao

    Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend. Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso. Kuna mchina mmoja yupo...
  11. DogoWaNjombe

    Sheikh Ponda: Watawala wakubwa wanajihisi wao ni WATAKATIFU, Wananchi na wakosoaji ndio tatizo

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
  12. Eli Cohen

    Watu hudhania kila mzee ni wa kuomba ushauri na guidance, wengi wao wanaweza kuchefuka na hatua kubwa uliyopiga ambayo wao katika umri huo hawakugusa

    Roho mbaya ikizeeka haikauki. Anaweza tu kukuona umewazidi maendeleo watoto wake haina budi kukuelekeza shimoni.
  13. Hismastersvoice

    CCM ikishirikiana na vyama vibaraka wameunda umoja wao

    Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI". Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA. Kazi ya kupambana na Chadema ilianza jana huko kanda ya ziwa ambako walianza kwa kumsifu Rais Samia...
  14. Eli Cohen

    Kwanini wanaoanzisha pubs mpya wengi lazima watinge Singida kutafuta mabinti wa kuziendesha/kuhudumia?

    Kuna siri gani juu ya mabinti wa Singida, are they good at hospitallity and homage?
  15. A

    KERO Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?

    Naomba kuuliza swali, Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa? Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
  16. Tlaatlaah

    Tetesi: AZAKI ndiye mpangaji na mfadhili mkuu wa matukio ya kigaidi na vurugu za Okt. 29.2025

    Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030. Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia...
  17. Eli Cohen

    Chama cha democrat kimegeuka kuwa chama cha vurugu kutokana na wao kutengeneza alliance na ideas za ukomonisti, trans fury (ushoga) na itikadi kali

    DEmocrat ya sasa sio ile ya wakina clinton na kurudi nyuma. Ni chama kilichogeuka kuwa na sera ambazo zinazopinga utamaduni wa kimagharibi. Ni chama kilichogeukia usasa wa ushetani na matakwa yasioendana na utamaduni chanya wa binadamu. Ndio maana leo tunaaona vikundi vinavyofaziliwa na...
  18. Stability

    Tila tila ndio mpango mzima kwa wadada sasa hivi, kila mmoja wao anapenda kuwa nayo

    Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
  19. Sifi Leo

    Mh rais wao take care, trump ni mara ya pili anakoswa koswa.km aliyoyasema chande ni sahihi vijana walikuwa na silaha basi tambua hazijaisha.

    Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili, Je Rais WENU you salama kiasi Gani? Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani? Utawala ulio mwaga damu kuwa madarakani uo sio utawala kamwe ujitafakari
  20. S

    Kwa hali ilivyo nchini na maudhi yaliyopo, kuna siku mambo yataharibika watu watakufa sana, na sio waandamanaji pekee, maana wao wamejifunza kitu

    Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona wao ni dunia nyingine tofauti na wale wanaowaongoza. Sasa niseme wazi. Kwamba hadi sasa huenda...
Back
Top Bottom