wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake hawapendi ndoa

    Moja kwa moja kwenye uzi. Kama kichwa cha uzi kinavyosema" wanawake hawapendi ndoa" ndio hii inaweza kukushangaza lakini ndio ukweli. Wanawake hawapendi ndoa kabisa tena hiki kizazi cha sasa ndio hakipendi ndoa kwa kiwango kikubwa kuzidi cha zamani kidogo. Wanawake wanapenda hivi vitu...
  2. Faida za kuoa mke zaidi ya mmoja katika jamii yetu kwa wanaume na wanawake

    Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja 01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara 02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri...
  3. Sio kila mtu anahitaji msaada wa pesa hasa wanawake

    Huwa nawashangaa vijana wanaopambana ili kuwapa wanawake pesa, honestly they know nothing kuhusu maisha. Mtu ambaye anatembea na wanaume tofauti ili tu apate kula, kuvaa na kulipa kodi au bills zake then akiachwa huku akakimbilia kule. Fahamu tu kuwa watu kama hawa akili zao zipo broke that...
  4. Ubunifu wakati wa kula tunda la mti wa Eden unasaidia kujenga legacy yako kwenye anga za mahusiano

    Habarini nyote Bazzukulu, Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali ya juu sana. Hii itasaidia kuacha legacy yako nzuri kwa washirika wako. Nisiwachoshe ni hayo tu...
  5. Wanawake tunaojilipia wenyewe kila kitu tupeni maua yetu

    Tupeni tu maua yetu kwakweli, halafu muache kukariri kwamba mwanamke yoyote ni lazima kuna mwanaume nyuma anamsaidia tu, kuna wengi tu wanajihudumia wenyewe kwa kila kitu wapeni maua yao aisee.
  6. Malipo kwa wanawake ni ndoto!

    Wanawake shida yenu ni nini? Hawa wasimbe watawapoteza. Yaani mtu ajitafute, apate kazi, anunue kiwanja, ajenge kwa gharama na kwa ugumu, akutongoze, akulipie mahari akuoe akuweke ndani akutunze na bado akulipe? Upo zako mzigoni unapigiwa simu, njoo uwapikie watoto wako mke wako kagoma kupika...
  7. Kupasiana Wanawake imekuwa kawaida siku hizi

    Ni weekend nyingine unaweza tembelea Tabata na Sinza kuifurahia weekend yako. Kuna ishu imezuka kwa baadhi ya vijana akishasex na mwanamke anamuunganishia na rafiki zake nao waweze kusex nae kunakuwa na mnyororo mrefu. Hii ishu imekuwa kama mchezo mwanamke mmoja anasex na watu kama wanne na...
  8. Magodoro 30 (Milioni 2.5) Yagawiwa kwa Wanawake wa UWT Wilaya ya Momba

    MBUNGE CONDESTER SICHALWE AKABIDHI MAGODORO 30 (MILIONI 2.5) KWA WANAWAKE UWT WILAYA YA MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe tarehe 26 Julai, 2023 amekutana na Wanawake wa UWT Wilaya ya Momba na kuwakabidhi Magodoro 30 yenye thamani ya Shilingi...
  9. Wanawake mnavutiwa na nani humu JF?

    Tuambieni jamani wanawake ukiona ID yanani humu unaanza kupata hisia za mapenzi sema tu basi tujue siri sio nzuri. Naombeni mushuke
  10. Kuna Umuhimu wa Kujenga Jamii Inayothamini Usawa na Haki kwa Kila Mmoja

    Usawa wa kijinsia unahusisha kutoa fursa sawa na haki kwa wanawake na wanaume katika maeneo yote ya maisha. Hii inajumuisha fursa sawa za elimu, ajira, afya, uongozi, na ushiriki katika maamuzi. Hata hivyo, bado kuna pengo kubwa la kijinsia katika maeneo mengi duniani, na hili linaweza kuwa na...
  11. Wanaume tuungane kujenga mnara wa wanawake wenye Chuchu embe, Msambwanda konki, kichwa kidogo na kasura kazuri.

    Salamu tele, Hakika Mungu anaumba kwa utulivu unakutana na mademu wenye Chuchu embe + Msambwanda+ kichwa kidogo+ kasura kazuri Mungu akupe nini zaidi ya baraka zake na ufunuo wa raha, ladha na utamu wa mapenzi. Ni kwa hakika unajisikia una kaupako fulani ka mapenzi na kiu ya kupenzika...
  12. S

    Wanawake hamuoni fedheha kuvaa nguo za ndani zinazojichora hasa mkitembea?

    Wanawake wenye kujiheshimu, huwezi ona amevaa nguo ambayo akitembea na wakati mwingine hata akiwa amesimama, nguo ya ndani (pindo) zinajichora mpaka inakua albu kumtazama. Mimi naamini huwa wanajiona kwenye vioo ila kwa akili zao baadhi wanaona ni sawa tu au ni sehemu ya kuongeza mvuto kitu...
  13. Wanawake wanatesa wanaume mabwege

    WANAWAKE WANATESA WANAUME MABWEGE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaleta mambo ya kibwegebwege Kwa nini usiteswe. Unaleta Tabia za kibwege nazi, Acha unyooshwe. Hakuna mwanaume Duniani mwenye Akili zake, anayejitambua alafu ateswe na Wanawake. Kitendo cha wewe kuteswa na Mwanamke...
  14. Timu ya Wanawake Nigeria yashindwa kuingia robo fainali Kombe la Dunia

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2. Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika mchezo huo, Nigeria imekwama kutumia vizuri nafasi ikiwemo kikosi cha England kuwa pungufu kwa...
  15. Licha ya idadi ya Wanawake walio katika nafasi za maamuzi duniani kuongezeka, bado jitihada zinahitajika

    Usawa wa kijinsia katika uongozi ni suala la msingi ambalo linapaswa kuzingatiwa kwa makini na kushughulikiwa kwa dhati. Kuwa na uwiano sawa wa wanaume na wanawake katika nafasi za uongozi ni jambo ambalo linakwenda mbali zaidi ya suala la haki ya kijinsia pekee; ni suala la usawa wa haki na...
  16. KWELI Mwanamke akiwa hedhi, haruhusiwi kuingia msitu wa Nyumbanitu

    Hii dunia ina vitu vya ajabu sana na vya kushangaza. Kuna historia baadhi unaweza unaweza kushangazwa nazo mojawapo ikiwa hii niliyopata kusimuliwa. Msitu wa Nyumbanitu una historia nyingi za kushangaza. Msitu huu upo katika Wilaya ya Wanging'ombe mkoa wa Njombe. Msitu huu nimepata kusimuliwa...
  17. Shughuli ikiandaliwa na wanawake inafana Sana.

    Hakika shughuli yao imejaa Sana kutokana na wingi wao hata takwimu za sensa zinathibitisha hilo kuwa wapo wengi kutuzidi. Pia bei ya vijora ni nafuu kuliko bei ya suti😅 Alisikika mwana Yanga mmoja kwenye kibanda umiza.. NB: sote ni wanawake Mungu
  18. Viongozi wanawake upinzani wamsifu Rais Samia

    Baadhi ya viongozi vya siasa vya upinzani wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kulea vyama vyao na kuleta maridhiano mazuri nchini huku akihakikishia dunia kuwa wanawake Tanzania wanaweza. Walisema maridhiano hayo yameleta tija katika vyama vyao kwa kuwa na mahusiano mazuri na serikali...
  19. S

    Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

    Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu. Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio inalkuwa ya mwisho kati ya mimi na yeye. Na wanaovaa haya mashangaa asilimia kubwa ni wa dini fulani na...
  20. Wanawake Mufindi wamshukuru Rais Samia kwa kuwapatia mitungi

    Wanawake wa Jimbo la Mufindi wamemshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia mitungi ya gesi ya kupikia, itakayowasaidia kuondokana na changamoto ya matumizi ya kuni na mikaa. Kauli hiyo waliitoa jimboni humo juzi, Mbunge Kigahe aliwapokabidhi mitungi ya gesi 500 yenye thamani ya sh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…