wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume sio kwa wanaume tu siku hizi limehamia kwa wanawake

    Ibaki hivyo, wala sijakosea. Ipi ni maana sahihi ya nguvu za kiume? Nguvu za kiume ni uwezo wa kiumbe hai kulifurahia na kulistahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi. Hivyo hakuna kitu kinachoitwa nguvu za kike. Binadamu na viumbe vingine vyote vinavyojamiiana, vumeumbwa na uwepo wa nguvu...
  2. Wanawake kutoka Tanzania ni wazuri zaidi ya nchi kadhaa zinazosifika kwa ukubwa hapa Africa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Namshukuru Mungu kiukweli nimepata fursa ya kutembelea nchi kadhaa hapa Barani Africa ikiwemo Ethiopia, Rwanda, Kenya, Uganda, Southafrica, Morocco, Madagascar, Seychelles, Nigeria, Congo RDC, Zambia, Malawi, Mozambique, Burundi, Central Africa Republican...
  3. Picha: Hivi mlisema wanawake wa aina hii wanapatikana wapi hapa nchini?

  4. Wanawake hawatunzi siri, hata kama ni mama yako usimwambie siri zako

    Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa.. Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama. Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku...
  5. Sio wanawake tu, hata wanaume hupenda kusifiwa

    Kila mtu anapenda sifa (kusifiwa), si wanawake pekee wanaopenda kusifiwa isipokuwa tofauti yao na sisi ni reaction baada ya kusifiwa au kutosifiwa. Mfano, Mwanaume ukimsifia kwakitu fulani utasikia"ah kawaida tu mbona hahh" yaani haipi uzito sana kwa wakati huo lakini amependezwa! Mwanamke...
  6. UEFA yaipongeza Tanzania Kukuza Soka la Wanawake

    Shirikisho la Mpira barani Ulaya (UEFA,) limeipongeza Tanzania kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Karibu Tanzania Organization (KTO,) kwa jitihada zinafanywa katika kukuza soka la wanawake na wasichana katika ngazi mbalimbali za Elimu kwa kuanzia ngazi ya Elimu Msingi. Hayo yameeelezwa na...
  7. Wanawake wengi wamekuwa wahanga wa makanisa, msishangae kuona anagawa mali zote kwa mchungaji wake

    Ninao ushahidi wa ndoa kama nne zimekufa sababu ya hawa called dady my dady ma... Hawa ni pastors wanatumia udhaifu wa kina mama kuwaibia mali zao na wanapojua una hela basi mume ujipange yaani kilicho chako kifiche kama ni hati ficha mbali kwa ndugu zako Nimekaa nikawaza hawa wanakuwa...
  8. B

    Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

    Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake. Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
  9. Familia za wavivu wengi zimesababisha soko la wanawake wa kuolewa na wanaume wa kuoa liwe gumu sana. Watu wanaogopa kupata wakwe na mashem wategemezi

    Habari wadau. Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata. Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea. Yale mambo ya kuoa mwanamke...
  10. Mwimbaji Harrysong aoa wanawake 30 ndani ya siku moja

    Mkali wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Harrysong ameweka rekodi mpya kwa kuoa wanawake 30 kwa siku moja. Rekodi hiyo ilikuwa imeshikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ya kuoa wake 27 kwa siku moja. Mwanzilishi huyo wa rekodi lebo ya Alter Plate records, Harrysong, kwa sasa anatrendi kwenye...
  11. 46% ya Wanawake wa Zanzibar ni Wanene Kupita Kiasi, Tanzania Bara ni 36%

    Imekuwa jambo la kawaida kukutana na makundi ya wanawake wa rika mbalimbali pembezoni mwa barabara wakifanya mazoezi. Wapo wanaokwenda kwenye klabu za mazoezi, lengo likiwa ni kujiweka fiti na kulinda afya ya mwili dhidi ya maradhi hasa yasiyoambukiza ambayo yamekuwa tishio kubwa kwa sasa. Hata...
  12. Upendo wa kweli kwa Wanawake umeondoka haupo tena

    Hili jambo nimelithibitisha kwa watu wengi walio katika mahusiano hasa yale yakuanza na NDOA kisha ndio waishi pamoja. Sisemi mahari ni nzuri au mbaya ila Mahari ni kipimo kikubwa sana kilichonifanya nije na huu uzi. Nimeuliza wanawake zaidi ya 10 swali 1 ambalo ni Je, Mpenzi wako akikosa...
  13. B

    Saa nyingine nawaonea huruma sana wanawake wanaojiuza

    Habarini, Kama kawaida yangu, kuna siku nilipita mahali flani chimbo kupata huduma yetu pendwa, mdada classic, short time tsh elf 7, kufika chumbani nkamwambia alale kwa tumbo ili nikojoe haraka, akaomba nimwongezee buku, sikuwa vizuri mfukoni nkamwambia ntampa siku ingine. Baada ya siku...
  14. Wanawake wana wivu sana

    Kuna mahali huwa nakwenda kupata huduma. Mmiliki wa hilo eneo ni mwanamke. Mfanyakazi wake wa kike huwa naelewana nae sana. Sasa nikiwa nazungumza nae namuona huyo bi mkubwa ana mind sana. Kwa sasa amebadili mbinu nikifika anamuondoa huyo mfanyakazi wake na anahakikisha mwanae ananihudumia...
  15. Wanawake wa kichaga wote jehovah awabariki sio kwa huyu bikra aisee nampenda sana

    Sikuwahi kuamini ipo kama nitaweza kukutana na bikra wa mwanamke wa kichaga ila mimi nimejonea laivu na mimi ndiyo nimeitoa aisee yaani sio poa poa kabisa demu wa kichaga ana mapenzi balaa asikuambie mtuu Baada ya kuvutiwa na huyu binti ambaye nimemkuta ana miaka 30 ila nimekuta hymen ipo...
  16. M

    Utafiti: Asilimia 21 ya wanawake Tanzania wamechepuka

    Kwa mujibu wa ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022, asilimia 21 ya wanawake wameshiriki ngono na wanaume ambao sio wenza wao na wala hawaishi nao. Kati ya hao, asilimia 22 walitumia kinga mara ya mwisho waliposhiriki ngono na watu hao. Kwa upande wa...
  17. Nilijua ni wanawake tu, kumbe kuna wanaume wanatafuta wenza wa maisha na hawapati?

    Zamani nilikua najua wanawake wanapitia mfadhaiko na depression akiona umri unaenda na hajapata Mwenza sahii wa kuishi nae/kuolewa nae, tumeshuhudia makanisani wakikusanyika Kuandika Maombi 12 huku ombi la kwanza ni kupata Mwanaume (kuolewa). Nilishuhudia kongamano moja la vijana Mchungaji...
  18. N

    Nataka niachane na Wanawake nisifanye mapenzi tena

    Habari ndugu zangu. Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina shida yeyote nina watoto wawili, sasa baada ya kujithamini kwa muda mrefu nimedhamiria kutoka moyoni kutojihusisha na wanawake tena. Yaani ni stop kufanya mapenzi, niwe mtu wa mazoezi yaani nifanye mazoezi kufa na kupona, nitoe sumu...
  19. D

    Wanawake wa kitanzania hawafai, wacha nitafute another race or culture

    marriage is actually dead. married people are the most low intelligent human beings ever. kwa sasa. and IF you are planning to get married hold on. MEN BENEFIT NOTHING FROM MARRIAGES STORY SHORT 7 years of being a long term relationship , which is over now. NA nilisema she will be my last girl...
  20. JamiiForums yashiriki sherehe ya miaka 30 ya TGNP

    TGNP yasherehekea miaka 30 ya uwepo wao. Taasisi hii imekuwa ikifanya tapo la haki na ustawi wa wanawake. JamiiForums tutakuwa na banda la kujadili na watu mbalimbali kuhusu vitu mbalimbali na kusikiliza wateja. TGNP imetaarifu kuhusu mafanikio kadhaa na changamoto kadhaa ambazo bado wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…