wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli. She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015. In September, she became just the fifth-ever female...
  2. Wafariji wa wanawake waliotendwa tunafanya kazi ya Mungu

    Ni wiki sasa Maryam ananipigia simu kila siku kila mara akidai anafarijika sana kuongea na mimi baada ya mpenzi wake wa muda mrefu kumtenda. Amekuwa akidai sauti yangu na maneno yangu yaliyojaa hekima na busara yanamtia faraja sana, yaani yanampunguzia machungu ya kutendwa. Basi kwa siku...
  3. Mama Maria Nyerere anawakumbuka wanawake wavaa mabaibui waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    Miaka 60 ya uhuru:Kinamama wengine hawakujua kusoma -Mama Maria Nyerere 6 Disemba 2021 'Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, ambayo sasa ni Tanzania, BBC imefanya mahojiano na watu mbalimbali, na miongoni mwao ni Mama Maria Nyerere ambaye ni mjane wa baba wa Taifa hilo Mwalimu...
  4. Kwanini wanawake wa kiarabu (machotara) wa Tabora, Shinyanga hawachangamani na jamii?

    Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana kabisa na wabantu, wengi wapo Sikonge, Igunga, Ngega, Tinde, Itobo, n.k Yani wao ni ndani tu mda wote...
  5. Ripoti ya CAG: Ufanisi katika uendeshaji wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

    Katika ukaguzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, CAG amebaini Mapungufu kadhaa yakiwemo; 1) 65% ya Mikopo iliyotolewa kwenye Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu haikurejeshwa. Kwa mwaka 2019/20, CAG alionesha Mamlaka za Serikali za Mitaa 130...
  6. Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

    Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha. Kweli yesu ni jibu. USSR
  7. Wanawake tunaweza. Tanzania ninakupenda nchi yangu

  8. Aina nne za Wanawake Michepuko

    1. ๐— ๐—–๐—›๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—Ÿ๐—”๐— ๐—œ: ๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ถ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ, ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฝ๐—ฒ, ๐˜‚๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—ฎ๐˜‚ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜๐˜‚. 2. ๐— ๐—–๐—›๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—ฉ๐—จ๐— ๐—•๐—œ: ๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—บ๐˜‚! ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ผ๐—ผ๐—ผ๐—ต๐—ต๐—ต ๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ, ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ, ๐˜€๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ, ๐—ผ๐—ผ๐—ผ๐—ต ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐˜๐—ต๐—ถ๐—ป, ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—น๐—ถ ๐—ป.๐—ธ! ๐—ก๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ผ...
  9. Sifa za wanawake wanene au wafupi

    Hawa wana sifa za kipekee zinazowavutia wanaume wengi, nazo ni:- Wavumilivu katika mahusiano Wana wivu sana kwa waume zao Wanapenda sana tendo la ndoa Wana hisia kali; ukiwa nao kwenye zoezi wanajua kung'ang'ania Hawavutiwi na pesa kwenye mahusiano Wanavutiwa sana na shoo za kibabe Kwako...
  10. Wanawake wa miaka hii kwa mnafahamu kuwa wanaume wamepunguza kuwatongoza?

    Miaka ya 2000 kwenda mbele wimbi la wanaume wamepunguza kuwatongoza na tena kipindi hiki cha mama ndio kabisa. Tunafahamu wanawake wana mambo mengi wanayo hitaji ila kwa sasa ni too much kwa miaka hii. Zamani mwanaume aliweza kumudu wanawake hata watano na wote kuwa mudu kiuchumu. Ila sasa...
  11. Wanawake wamekuwa ni jeshi dhidi ya nani?

    Wakuu Ts nonsense Kwa mtizamo wangu, hii kitu inyoendelea kwenye social media platforms inaweza kuwaletea shida mbeleni wana-CCM! Political strategist waione mapema hii. Wameanza kuwa"brand" wanawake wa nchi hii dhidi ya nani? Je, vijana wa Nchii hii nao wakija na slogan yao sijui itakuwaje...
  12. S

    Wanawake wafupi wengi wao huzaa kwa "upasuaji": Kuna ukweli gani ktk hili?

    Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito. Kuna ukweli gani ktk hili? My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
  13. Wanawake jifunzeni kuvutia waume zenu hata baada ya miaka 10 kwenye ndoa

    Chagamoto kubwa siku hizi ambayo inasababisha ndoa ziingie kwenye migogoro isio isha ni uzembe wa wanawake kwenye ndoa, unaoa mke ukiwa 30yrs yeye akiwa 23yrs, kwa umri huo anakua na sura nzuri na makeups chura sauti nzuri umbo safi, kwa kweli anakua na mvuto kila siku, unatamani kukutana nae...
  14. Kwani Wanawake mko wapi?

    KWANI WANAWAKE MPO WAPI? Na Moh'd Majaliwa, Adv. Kiasi imenistaajabisha na kunistua, sikuitarajia hali hii. Kwenye makutano na mikusanyiko mingi ya maana na ya kipuuzi, wanawake nyie huwa wengi zaidi ya wanaume, yaani mmekuwa wepesi kuhamasika na kwa ajili hiyo kipimo cha jambo lako la...
  15. Barua ya wazi Kwa wanawake: Usiolewe na mwanaume mpumbavu na mwoga!

    USIOLEWE NA MWANAUME MPUMBAVU NA MWOGA! Kwa Mkono wa RObert Heriel. Leo nitakaanga wapumbavu wote na waoga bila kupepesa. Iwe ni Mimi mwenyewe, wewe au Yule. Andiko hili halitamkwepa mwanaume yeyote Mpumbavu na mwoga bila kujali nafasi yake, hadhi yake, na umri wake. Aidha andiko hili...
  16. Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia: Ukatili kwenye Mitandao na madhara yake

    Kukua kwa Teknolojia ya kidigitali pamoja na mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO-19 umechangia mabadiliko ya mfumo wa kufanya kazi. Watu wengi wamekuwa wakitumia teknolojia ya TEHAMA na mitandao kama sehemu za kupata taarifa kukuza biashara zao, kufanya kazi na mawasiliano kwa ujumla. Hata hivyo, kwa...
  17. C

    Wivu wa kimapenzi: Wanawake ni wakali kwa wanawake kuliko kwa mabinti

    Huu ni utafiti usio rasimi lakini kuna ukweli ndani yake Mwanamke aliye kwenye ndoa anakuwa na wivu wa juu kwa mwanamke mwingine hasa mke wa mtu kwa asilimia 90% hasa akibaini anatembea na mume wake Anakuwa na wivu kwa mwanamke aliyeachika kwa asilimia 100 Anakuwa na wivu kwa binti kwa...
  18. Amos Makalla: Kwenye kero nilizozikuta wapo wanaume wanaonyanyaswa. Kuna wanawake wana fedha wanahitaji tu wanaume wa kuwaoa

    Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Amos Makalla amesema kwenye dawati la jinsia kuna wanaume aliowaita marioo wanakuja kulalamika kunyanyaswa na wanawake wenye fedha kwani huwapatia vitu alafu wakiachana wanawanyang'anya kila kitu hivyo hurudi nyuma kimaisha kwa kuwa mwanaume suruali. ======== Mkuu...
  19. L

    Ushawishi wa China barani Afrika watokana na ushirikiano wa dhati kati ya pande hizo mbili

    Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza duniani, mbele ya Marekani, mashirika ya kikanda, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Haya...
  20. S

    Kuna ubaya wanawake kutoa treat kwa wapenzi wao na ikajulikana hivyo?

    Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing). Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa kiganjani mwake kisha kwa siri/kificho anakupatia ili ufanye malipo mtakapoletewa ankara ya huduma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ