wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Imeandikwa muishi nao kwa akili, akili ya kwanza hii hapa jinsi ya kuishi na wanawake

    Habari wakuu Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja, Duka lenye wateja...
  2. Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha

    Mwanamke mmoja (50), amefanikiwa kupata watoto mapacha kwa njia ya upandikizaji mimba jijini Arusha. Mwanamama huyo ni mmoja kati ya wanawake 500 waliofanikiwa kupata watoto kwa huduma hiyo inayotolewa na kituo cha Huduma ya Uzazi na Upandikizaji Mimba cha Avinta Care Medical kilichopo jijini...
  3. K

    Inakuwaje baadhi ya wanawake wapo tayari kumwacha mwanaume anayempenda kisa fedha baadaye anarudi na kutaka muwe wapenzi kisirisiri?

    Nilisha simuliwa story hizi nyingi za mwanamke kumwacha ampendaye kisa kampata mwengine mwenye hela. Nina wanangu wa wawili wote mainjinia, mmoja nilijuana naye Mchikichini kwenye mapindi, mwengine tulijuana kwenye projects moja ambayo ilikuwa tempo ya kama mwaka mmoja. Huyu mwana niliyejuana...
  4. Wanawake washaurini(kuwasaidia) binti zenu kutafuta mume kuanzia wakiwa miaka 17-25

    Ramadhan Kareem! Dada zangu, wadogo zangu wakike, pamoja na kina Mama, elimu hii ni muhimu Sana. Dunia ya sasa imefikia pagumu Sana, hasa kwenye kipengele cha ndoa. Kuweni karibu na binti zenu, wafanyeni marafiki, wafanyeni wawaamini, hakikisha Kama mzazi unamaarifa ya kutosha kumshauri binti...
  5. Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa sehemu ya mikakati yake katika kuzuia biashara ya wanawake kujiuza ni kuwakamata wanaume ambao wanahusika katika biashara hiyo. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ameamua kuja na staili tofauti...
  6. P

    Fahamu zaidi kuhusu chanzo na dalili za ugonjwa wa fangasi ukeni (Vaginal Candidiasis)

    UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS) Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu...
  7. Wanaume wengi wanao "date" na wanawake waliowazidi umri, wengi wao walikosa mapenzi ya mama

    Wale wanaume wanaopenda kudate wanawake waliowazidi umri wengi wao walikosa mapenzi ya mama zao tangu wakiwa wadogo mpaka wamekua. Kukosa mapenzi ya mama zao kunawafanya watafute wanawake wakubwa kiumri zaidi yao. Wanahisi wanawake hao watawalea kama mama zao. Na ndio inavokua mara nyingi...
  8. Huu ni ukweli kuhusu Wanawake

    Habari wana jf poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Leo katika pitapita zangu nimekutana na hivi vitu nikaona bora na nyie niwashirikishe maana vizuri kula na mwenzako 1. Mwanamke anapokasirika, zaidi ya nusu ya mambo anayoongea anakuwa hajamaanisha. 2. Wakati mgumu kabisa kwa mwanamke ni...
  9. Wanawake wengi hawapendi kugharamia huduma. Wanapenda dezo dezo. Na wala wasilaumiwe ndio asili yao

    Wasalaam, Wanawake wengi haijalishi ana kipato kiasi gani kwa ujumla wao hawapendi kulipia huduma mbali mbali wanazopata. Na hapa wala tusiwalaumu kwasababu kiasili mwanamke hakuumbwa kutoa bali kupokea. Mwanamke ameumbwa kuhudumiwa (hapa wanawake watashangilia sana kama kawaida zao wakisikia...
  10. K

    Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  11. Misimamo ya Ligi Kuu Bara, Championship, Ligi ya Zanzibar, Ligi ya Wanawake

    Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi Kuu ya Wanawake. Chanzo: Mwanaspoti
  12. S

    Wanawake bia ngumu wanakunywa, usiwalegezee wanakuona boya

    Utakuta demu anajifanya anataka Serengeti lite au Heineken wakati kiuhalisia bia yake safari laga. Mi kuna siku demu kaniomba nimnunulie bia kulaleki anayaka Castle Lite wakati mi mwenyewe nakunywa Plisna Nilimnunulia moja alivyotaka nyingine nikamwambia hapa tutakunywa plisna na double kick...
  13. Umegundua kuwa wanawake ambao ni wife material hawako romantic?

    Habari Wakuu Hivi umegundua kwanza wanawake ambayo ni wife material hawako romantic kabisa yaani ata kukuita darling, my love ni ishu yaani[emoji23][emoji23]. Na wana aibu hao ata mkiwa kwenye kitanda mara nyingi wanafunga macho hawapendi kuiangalia kabisa wala kuishika[emoji23][emoji23] na...
  14. Dar es Salaam wanawake wengi ni madada poa ila wanajificha kwenye kivuli cha uanafunzi, niligundua hili baada ya kuingia sita kwa sita

    Wanawake wengi wanaojiuza (wasimbe) wanajificha katika kivuli cha uanafunzi, wiki kadhaa zilizopita nilipata dharula nikawa nahitajika Dar es Salaam. Baada ya kumaliza kazi zangu nikaamua kusogea katika moja ya migahawa mikubwa tu hapa katika wilaya ya Kinondoni na ndipo nikabahatika kukaa na...
  15. Feminists wote duniani ni wanawake wanaotumika kisiasa

    Nasema hivi baada ya kuona nafasi za wanawake zinapokonywa na USA na nafasi hizo wanakabidhiwa wanaume waliokata uume huku feminists wanaokuwaga mstari wa mbele kwenye kila nchi kupigania usawa wa kijinsia wakiwa kimya. Mwaka huu 2022, gazeti la USA today lilimtaja mwanaume aliyekatwa uume...
  16. Man V/s Women mpaka sasa Wanaongoza 3-0

    Nikiunganisha matukio ya hivi karibuni; Zuchu Zumarid Na Huyu wa Mrema. Mpaka sasa Mans tutaishia kupiga makelele tu mitandaoni ila kiukweli Tufanye sana Ibada hawa watu hatuwawezi,Ukikosekana wewe Mshukuru Mungu ujue kuna mwenzio huko kapatikana!
  17. Wasichana wa kiarabu na kisomali wananuka miguu

    Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉 Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha. Nikiwa chuoni nmebahatka kuishi room moja na wasichana wa mataifa mbali mbali, uarabuni, wasomali...
  18. M

    Hivi hawa wanawake wanaowasingizia kesi za ubakaji waume zao wanapata adhabu gani?

    Habarini, mifano ni mingi tu. Ni vizuri na ni jambo la kheri kumuwezesha mwanamke, yaani kumpa nguvu dhidi ya uonevu wa wanaume. Si malengo ya mtoaji nguvu kwa wao kuzitumia kuumiza na kutesa wasio na hatia. Hivi je, ikigundulika mume aliyefanyiwa vigisu za ubakaji na mkewe na akafungwa...
  19. H

    Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

    Habari wanajf wenzangu Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu. Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio...
  20. Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

    Wakuu natumaini mko poa. Leo naandika nikiwa na hasira nyingi dhidi ya mtu anayeitwa Hakika Ruben. Huyu ni mtu maarufu mitandaoni kwa clips zake za vichekesho. Kwa upande wangu nampongeza kwa kuendeleza kipaji chake na ninampongeza zaidi kama inamletea chochote mezani. Binafsi sivutiwi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…