Wanaume wana huzuni, hasira, uchungu, wanatamani waoneshe hisia zao lakini haiwezekani, jamii inawakataza kufanya hivyo, hawatakiwi kulia wala kuhuzunika, wanatakiwa wawe ngangari muda wote, sasa hii inapelekea kua makatili au kupata changamoto za afya ya akili, ukichunguza sana utaona nyuma ya...