wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, unajua mwanamke anaweza beba mimba moja ya wanaume wawili/tatu kwa wakati mmoja?

    Hii hutokea zaidi Kwa mimba za mapacha.Inaitwa hetero paternal superfecundation Japo ni Kwa nadra sana. Wanazaliwa watoto mapacha wanaoshea mama mmoja kibiolojia lakini baba tofauti(fraternal twins) Ni kwamba mwanamke anapokuwa katika siku zake za kupata mimba(ovulation), Anazalisha mayai...
  2. Ndoa 2 Kati 3 zinazopandikiza mimba Muhimbili chanzo cha tatizo ni wanaume

    Msikilize huyu Daktari kutoka MNH anasema mkitoa mbegu wakiziweka hapo wakigeuka na kurudi zimeshakufa ========= Wakati Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikipanua huduma zake za Upandikizaji Mimba (IVF), Madaktari wanasema ubora hafifu wa Mbegu za kiume na idadi ndogo ya Mbegu miongoni mwa Wanaume...
  3. Wanaume wana akili kubwa ya kujipatia mahitaji yao kuliko wanawake ?

    Kwa nini wanawake wengi walioshindwa maisha au wenye kipato kidogo hukimbilia biashara ya mapenzi kama njia ya kujipatia kipato? Kwa nini huwa hawafikirii kazi nyingine tofauti na hiyo ya mabadilishano ya ngono kwa pesa kama ambavyo wanaume wanavyojitafuta kupata kipato?
  4. Clean Money Thread: Pesa halali ni ngumu sana Wakuu, hasa kwa Wanaume

    Ukizaliwa mwanaumeeee, we ujueee, kila kitu kwako kitakuwa ni taaabuuu🎶🎼🎵
  5. Wanawake, mkipata nafasi muwakumbatie Wanaume kwa nguvu, hawana Furaha

    Wanaume wana huzuni, hasira, uchungu, wanatamani waoneshe hisia zao lakini haiwezekani, jamii inawakataza kufanya hivyo, hawatakiwi kulia wala kuhuzunika, wanatakiwa wawe ngangari muda wote, sasa hii inapelekea kua makatili au kupata changamoto za afya ya akili, ukichunguza sana utaona nyuma ya...
  6. Wanaume ambao hatujawahi kutoka na wanawake wa JF tunakwama wapi? Mapenzi yanawezekana humu au ni mijadala tu?

    Kwa wale ambao hatujawahi kutoka kimapenzi na wadada wa JF, hebu tukutane hapa tupeane uzoefu, ushauri, faraja na mbinu za kuwapata. Nasikia humu kuna wanawake wa hadhi, intellectuals, great thinkers, wanawake wenye upeo mpana wa kufikiri na mijadala yenye mashiko na waliojipata kimaisha. Sasa...
  7. N

    Hii kulinda mgongo wako, ni wanaume tu walinde ama na wanawake pia?

    Wanawake wanafanywa njia ya haja kubwa, walioolewa wanawapa waume hiyo njia wakiamini wanaume hawatatoka nje ya ndoa...mabinti wadogo haswa wanafunzi nao wanaingiziwa huko ili wapewe macho matatu...madada wanapewa nauli za kwenda uchina kwa kuingiziwa huko... Sasa huko mtandaoni unakuta wamama...
  8. F

    Wanaume wa aina hii wamepungua sana katika ulimwengu wa sasa

    Katika miaka yetu tunakua, ilikuwa kawaida kabisa mkulima akaoa mwalimu wa shule ya msingi Bado akatii na kumuheshimu mumewe asiye na elimu. Mwisho wa mwezi ukifika, mke huchukua mshahara wote anamkabidhi mume ndipo anapangiwa namna ya kutumia pesa hizo na uti na utulivu ulidumu ndani ya ndoa...
  9. Kubeba mimba ya mwanaume bila makubaliano ni ukatili kwa Wanaume. Iwe kosa la jinai

    KUBEBA MIMBA YA MWANAUME BILA MAKUBALIANO NI UKATILI KWA WANAUME. IWE KOSA la JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii ishu lazima tuizungumzie mara kwa mara mpaka izoeleke akilini. Na wanawake wajue ukatili wanaoufanya. Ni kama ubakaji hivi. Unabeba mimba ya mtu bila ridhaa yake. Huo ni...
  10. J

    David Kafulila: Wakati Ujao ni wa Kila Mtu lakini hatuwezi kuufikia tukiwa tumegawanyika, 88.6% ya wanawake ni House Keeper wakati wanaume ni 52.5%

    HAPPY INTERNATIONAL MEN’S DAY 2026 – THE FUTURE IS EVERYONE - KAFULILA Katika kuadhimisha Siku ya Wanaume Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Zacharia Kafulila, kupitia akaunti yake ya X (zamani Twitter), ametoa ujumbe unaosisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya wanaume na wanawake...
  11. Kheri ya siku ya wanaume duniani especially wa Tanzania

    Asante sana TANESCO kwa kukumbuka hili.Nami nasema hongereni kwa Kubaki kuwa wanaume rijali,wenye nguvu na uthabiti. Hatujali midomo yenu mirefu Kama chuchunge kutwa kutusimanga Wanawake…hiyo poa tu tushazoea maana huenda kuna magumu tunawapitisha yanayoyofanya mtuone si watu wa kuaminika na...
  12. Funny observation: Siku ya Wanaume na Siku ya Choo Duniani😀

    Hizo Facts, zinaonyesha kuwa Mwaka 1999 dunia ilianza kuazimisha siku ya wanaume duniani. Lakini, miaka miwili tu baadae, 'wataalam' wakawa wanahangaika kutafuta siku maalum ya masuala ya Choo, wakaangalia Januari 1 hadi Disemba 31 wakaona ni tarehe Moja tu ndio inafaa, 19-Nov. Ambayo ni siku ya...
  13. T

    Wanaume walioachwa na Wanawake zao na wakafanikiwa zaidi kwenye mahusiano..

    Wengi huwa wanakwama na ni sababu kubwa ya kupoteza ndugu zetu hapa duniani.
  14. wanaume tujadili

    kwa nini baadhi ya wanaume wanapenda kuwa na wanawake wengi lakini wanapo gundua mwanamke wake au demu wake ana mwanaume mwingine wanakuwa tayari kupigana? je ni mapenzi wivu au unafiki? au ndio defense mechanism ina niendesha? nataka maoni nifanye maamuzi
  15. Tunamkaribisha member mpya Bakayo Saka katika chama Cha wanaume duniani

    Chama Cha Wanaume Duniani chini ya mwenyekiti Habibi Ashraf Hakimi, tunapenda kumkaribisha mwanachama mpya kwa Kumpa kadi ya uanachamq ambaye ni Ndugu Bakayo Saka, hii ni baada ya kuzingatia masomo ambayo tumekua tukiyatoa kila uchwao ili kua salama dhidi ya wanawake maharamia wa kizazi hii...
  16. Wanaume wengi wanahitaji masaada wa kisaikolojia na kihisia .

    Kuna jambo ambalo wanaume wengi hatupendi kulizungumzia wakati mwingine chanzo cha maumivu tunayopitia katika mahusiano ni sisi wenyewe na maamuzi yetu. Wanaume wengi wetu tunaingia kwenye mahusiano bila kuwa na standards, hatuna mipaka, hatujui tunataka mwanamke wa aina gani na hatuna...
  17. Kama boss wa NVIDIA (Jensen Huang) kanaswa kwenye honey trap basi wanaume wapenda totos sio wa kuwapa nyazifa kubwa.

    Kuna muda huwa najiuliza kwani hawa wanawake ni kipi cha ziada huwa wanakitoa, mpaka kufikia hatua ya kumchanganya mwanaume mtu mzima mwenye akili timamu na kujikuta anafanya maamuzi ya hovyo? Tukio la Jensen limenifikirisha sana. Kama kweli uyo manzi alikua ni jasusi wa China. Basi...
  18. Wanaume, huwezi kudanganya mwanamke.

    Hivi huwa mnadhani wanawake hawajui? Mwanamke anaweza kusmell a mile away wewe ni mwanaume aina gani... She knows what kind of dude she's dealing with. Ila aisee ndugu zangu huwezi kula mali nzuri kama wewe ni kapuku, utaishia kula kwa macho wenzako waliojipata wakisaza Jisake, there's no...
  19. B

    Mwanamke kukwambia shida zake za kipesa dakika chache baada ya tendo, hii imekaaje?

    Habarini, Unakutana na mdada kijijini, familia yake unaijua, unamtongoza fresh, kwenye talking stage unamzingatia vihela viwili vitatu, unakua sio mchoyo kwake, mnaongea vizuri , fresh.. unamuomba mzigo, mnakubaliana mnakutana siku flani, anakuja mnazagamuana.. Dakika chache baada ya tendo...
  20. Mpe moyo mwanaume mwenzio, Mtaa hauna huruma na wanaume

    Kila siku inapoanza na jua linapochomoza katika kona za Tanzania, iwe ni mitaa ya Dodoma, Arusha, Dar es Salaam, Mwanza na kwingineko nchini, maelfu ya wanaume hutoka majumbani mwao wakiwa wamevaa nyuso ngumu zisizoonyesha hofu. Wanaamka mapema kupambana na jua kali, vumbi, na ugumu wa maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…