the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Mapovu ya keyboard warriors yamejaa mitandaoni baada ya tetesi ya kwamba Rais anaweza kuongeza muda wake kwa kuongoza awamu nyingine kupitia katiba inayoweza kupitishwa bungeni.
If that will Happen, MTAFANYA NINI ? 😂😂
Haya twendeni kazi wazee wa "tunalaani vikali" na wachimba mikwara kwenye...
Biblia katika Luka 3:23 inasema Yesu alianza huduma yake akiwa na miaka thelathini (30). Katika hiyo miaka yote alikuwa wapi na anafanya nini ? Hii historia yake haijaweka kwenye Biblia.
Ni kweli alikuwa anafanya kazi kama fundi seremela au ujenzi akisaidiana na Joseph baba yake mlezi ?
Kuna...
Mwanaume mmoja nchini Kenya ameibua mjadala mitandaoni baada ya kudaiwa kujitolea kumlipia masomo na kumsaidia kifedha mpenzi wake kwa kipindi cha miaka minne katika Chuo Kikuu cha Karatina.
Kwa mujibu wa simulizi hilo, mwanaume huyo alimsaidia mwanamke huyo tangu alipoanza masomo hadi...
Kwa mujibu wa #TraceMedia ndugu Khalidi Kalaghe (45), Operator wa Excavator, katika kampuni ya China Energy Engineering Group, aliuguliwa na mwanae. Alikua anamdai boss wake (Mchina) kiasi cha shilingi laki 9. Hakulipwa. Mtoto akafariki. Akaomba ruhusa ya wiki moja kwenda kuzika. Akapewa siku 3...
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ni mmoja wa wanasiasa wa upinzani wanaofahamika zaidi Tanzania, na pia ni wakili mzoefu. Kesi ya uhaini iliyofunguliwa dhidi yake Aprili 2025 ilimpa nafasi isiyo ya kawaida: kusimama kizimbani kama mshtakiwa na wakati huohuo...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Halidi Seleman Kalaghe (45), Mwendeshaji wa Mtambo wa Excavator kwa tuhuma za kuharibu mali za Kampuni ya ujenzi wa barabara baada ya kutofautiana na Mwajiri wake katika eneo la Mvumoni, Somangila, Kigamboni.
Kwa mujibu wa taarifa...
Mtanzania aliyekuwa akifanya kazi katika kampuni ya kichina nchini huko Kigamboni afanya uharibifu mkubwa wa mali za mchina mara baada ya kudhulumiwa pesa zake ambazo zilikuwa ni malipo ya kazi yake aliyoifanya kwa mchina huyo ambayo ni mishahara ya miezi mitatu na kila alipodai boss wake...
𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔
Uongozi unaowajibika kwa Wananchi wake.
Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpatia namba ya simu mwananchi wake kwa ajili ya kuwasiliana naye.
dkt. mwigulu
dkt. mwigulu nchemba
mkuu
mwigulu
mwigulu nchemba
picha
unaowajibika
uongozi
wake
wananchi
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mwigulu
waziri mkuu mwigulu nchemba
𝗧𝗲𝗵𝗮𝗺𝗮 𝗖𝗵𝗶𝗻𝗮
Hili ni bandiko la ombi, Hapa hajadiliwi Shehe Mwaipopo,bali lengo ni kuchunguza na kubaini njia bora ya kuhakikisha afya ya mwili na akili ya ndugu huyu inafikiwa ili kupata natokeo mema ya anachokiongea majukwaani Kila kukicha.
Hawa watu wenye kumpa majukwaa Kila kukicha Shehe...
Wakati wa mashauriano kati ya wakuu wa chama na Herzog, ambayo yalimalizika Alhamisi, wanachama 67 kati ya 120 wa Knesset walimuunga mkono Eisenkot, huku 46 pekee wakimunga mkono Netanyahu.
Uidhinishaji wa Netanyahu ulipungua viti 7 kati ya viti 53 vya kambi yake baada ya Uyahudi wa United...
Ulaya Yatahadharisha Familia Kuhifadhi CHAKULA NA MAJI 🤯
Umoja wa Ulaya umewashauri raia wake kujiandaa ili waweze kujikimu wenyewe kwa muda wa saa 72. Inashangaza—kwa nini Umoja wa Ulaya, ambao kwa kawaida huwa waangalifu sana na wenye kuzingatia usahihi wa kisiasa, ghafla unazitahadharisha...
‘Nikipata nafasi ya kwenda kumuona Tundu Lissu nitaenda ni Mjomba wangu na yeye anajua, na mmoja wa watu walionishawishi mimi kusoma Sheria ni Tundu Lissu, kuteleza kupo, nilotamani matokeo yawe toauti jana lakini sababu tunaheshimu mifumo basi tunaacha'
‘Magereza sio sehemu nzuri ya kwenda...
Tunakoelekea waziri Mkuu na Makamu watatumwa mpaka kwenye vibao kata, ili hali sio shughuli za kiserikali.
Ila sishangai maana Kizimkazi festival, huwa inasababisha watumishi wa umma wote kufunga ofisi za umma na kwenda kukata viuno kule Zanzibar Kizimkazi ili mama afurahie mauno ya watumishi...
Ndugu zangu watanzania,
Kabla Sijaleta Andiko Zuri juu ya Hukumu ya Tundu Lissu hapo Baadaye kidogo ningependa kusema ya kuwa Lissu kaonewa huruma sana na kupewa miaka michache sana Gerezani.
Kwa Sababu kwa kanuni na sheria za vifungo vya wafungwa kwa upande wa Uhesabuji wa miaka inakokotolewa...
Sina uhakika kama watoto au mke wa Lissu wako mahakamani leo, kama hawajafika hili ni kosa kubwa la kimawasiliano CHADEMA watakuwa wamefanya kukosa picha ya watoto au mke wake mahakamani.
Hakuna maajqbu mengine kwa mwenye macho ameona na mwenye masikio amesikia. Ushahidi uliopo sio wa kutafuta kwa tochi. Lissu alitamka wazi mchana hadharani kuwa " lazima tutafanya uasi/ tutavuruga huu uchaguzi".
Tunacho kisubiria leo hii trh 6/11 ni adhabu itakayo tolewa na mahakama, kunyongwa...
Kila binadamu anaweza kuwa na upuuzi wake mwingi kichwani. Unaweza kuwa na upuuzi wa kiwango cha juu umeubeba kichwani ila kwa kuwa haujulikani kwa watu basi unaendelea kuheshimika. Siku ukiamua kuubwaga upuuzi uliobeba kisha watu wakausikia hapo ndipo dharau zitaanza. Hata wewe hutaamini kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.