Kenya. Jumatatu ya Machi 13, majira ya jioni ni siku ambayo Dan Ouma aliaga dunia baada ya kuamua kuingilia ugomvi kwa kusudi la kuwatenganisha wa wanandoa ambao mume alikuwa akipigwa na mke wake, tovuti ya Tuko imeripoti tukio hilo.
Matokeo yake Ouma mwenye umri wa miaka 24, alipigwa na kitu...
Hali yetu ya uchumi ni mbaya na ndio maana watu wetu wako tayari kufanyiwa lolote ili TU labda wajisogeze kidogo.
Hata kama ni kwa kuhatarisha maisha Yao !! Kwanini wasiruhusiwe iwe na utaratibu maalumu namna na jinsi ya kujitolea.
Figo ni kiungo ambacho wagonjwa wengi wanateseka kama Kuna...
Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka.
Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge WA pande zote walisimama na wananchi hakuna changamoto ya wagombea hao kushawishi Sana wapiga...
Wale wafuasi wa Magufuli leo hii wanalalamika kwamba Chadema haikosoi tena Serikali, imenunuliwa
Lakini watu hawa hawa ndio waliokuwa wakisoma vyama vya upinzani havina umuhimu, inabidi viuawe kwa nguvu kwa kutumia mbinu za kuteka kufunga na kuua viongozi wake
Hawa watu wana matatizo ya akili?
Introduction:-
Hoya niaje wanaume wenzangu..
Kama nilivyoandika kwenye heading ""Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?""
Scenario.
Nazungumza na wewe baharia mwenzangu
1. Upo Halmashauri unakomaa na mishale ya DED/TED/MED wako bila kusahau mijeledi ya madiwani wako, yaani unajichanga...
Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
TAHOSA ni chama cha walimu wakuu wa shule hasa za Sekondari. Moja ya kazi zao ni kutunga mitihani ya majaribio kwa wanafunzi, yaani hii mitihani inayoitwa “Mock Examinations” au kwa kifupi kilichozoeleka “mock”.
Shida yangu ninayowaeleza watanzania hasa sisi ambao ni wazazi wa wanafunzi ni...
Kutokana na uhaba wa ajira katika Zama hizi kumepelekea watu kuona umuhimu wa kujiajiri ili walau Maisha yaweze kusonga mbele, kwasababu uhitaji WA ajira ni mkubwa na nafasi zilizopo ni chache mno kuweza kukidhi mahitaji.
Kwahiyo namna pekee ya kutatua changamoto hii ni kutafuta njia mbadala...
Ndiyo, sisi waafrika wenyewe si tumegoma kutumia majina yetu ya asili na kuyakumbatia majina fulani hivi enzi na enzi na sasa waliotukabidhi hayo majina sasa wanatuletea ushoga milangoni mwetu.........it gets nearer siku baada ya siku.
Kutokana na hilo, nafikiria ni wakati sasa wa kutumia...
Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono.
Cha kushangaza hakuna nauli wala...
Baada ya Fesal kuangukia pua tena kwenye Review ya hukumu iliyotolewa kati yake dhidi ya mwajiri wake klabu ya Young Africans sasa twende Moja kwa moja kwenye mada.
Klabu ya Yanga inaendelea kumlipa Feisal mshahara kama mtego wa kiufundi utakaokuja kumgharimu baadaye kama hatotaka kutumia...
Hili liko wazi,
CHADEMA iko katika harakati za kumpitisha Mgombea wa CCM kiulaini mwaka 2025. Chadema nao wameamua kuunga mkono juhudi kwa staili nyingine , na hawataki kusikia la muadhini wala la mnadi swala.
Naam nimemsiki Sugu juzi, nilishamsikia Mbowe aliyetoka kuwekwa jela na Mtawala...
Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS)
Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
Kwenda kwa Rais Arusha leo ni asset au liability kwenye uwanja wa siasa? Kama ni liability washauri wake walishindwa kuona madhara haya? Kama ni asset, kivipi?
Kwa ukubwa wa msafara wa Lema, hakuna umuhimu. Rais akatembelea Arusha kikazi azungumze na wananchi hivi karibuni kuonesha kukubalika...
Ni muhimu kujua mapema kama mwanamke anakutaka au la.
Utalijua hilo kutokana na tabia anazoonesha kuashiria amevutiwa na wewe au la. Kupata namba yake ni jambo la kawaida, lakini sio kiashiria kuwa mwanamke ndo amekukubali. Unapoongea naye kazi yako ni kumpima je amevutiwa na wewe kiasi gani...
Msome mchumba wako vema kabla hamjafunga ndoa.
Kama unanyimwa unyumba ama pesa wakati wa uchumba kwasabb zozote zile, basi ukae ukijua kuwa utanyimwa hata kwenye ndoa kwasabb zinazofanana na hizo.
Kazi kwako. Endelea kulea uzembe huku ukijifariji kuwa utaisha mkiingia kwenye ndoa.
Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao.
Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini...
Kutokana na hali na upepo wa kisiasa, natumaini kwa wabunge wa Tanganyika huu ni Muda muafaka wa kupeleka hoja ya kubadili katiba na kuanzisha serikali ya Tanganyika na kuanzisha vifungu vya kulinda maliasili za watanganyika . That said, Rais JM Kikwete apewe muda wa kuongoza serikali ya...
Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe.
Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa...
Nimejikuta leo hii nalikumbuka shirika letu hili pendwa la NMC, nikajisikia vibaya sana, ukizingatia malengo ya NMC, Ilikuwa ni pamoja na kununua mazao mashambani kwa bei isiyo ya kumuumiza mkulima, ku process au kuchakata mazao hayo kama ni unga au la na kuuza bidhaa iliyo kamili, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.