Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu.
Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa...
Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai
Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati.
Na John Mapepele
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine.
Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”,
Na...
Rais Samia Suluhu katika kujenga msingi wa shabaha ya Dira2050 inayotaka Watanzania wenye afya na furaha, na umri wa kuishi wa wastani wa miaka 75, Kwa upande wa kumpiga vita adui Maradhi, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi...
Katika huu mwaka wa uchaguzi Kila kipindi CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito vyama kama ACT na CHAUMMA navyo Huwa vinaingiza mkia nyuma lakini huko CCM kukipoa ACT na CHAUMMA utawasikia wanapata makali.
Saiv usikii chaka to chaka usikii watu wakinadi sera zao lakini kipindi CCM wakipata afadhali...
I salute you kinsmen.
Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu.
Yanga wanabebwa
GSM anaharibu ligi
Udhamini wa team nane
Mangungu atoke
Tshabalala msaliti
Sasa nataka mjue simba imejaa uozo mkubwa sana.
Na inaanzia kwa Mo mwenyewe...
Imekuwa ikitokea habari za Upinzani Tanzania au habari ambayo watu fulani hawaipenda basi ile TV online na Insta page haziwekwi isipokuwa kwa jf pekee.
Je, wadau, tu unfollow zile page ili tuwe na source moja ya jf.
Tutajieni majina ya kuachana nao.
Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali Khamenei.
https://iranintl.com/en/202507149808
Kuna watu siwaelewi kama wana akili timamu,ulimbukeni ama ujuaji.
Hivi unawezaje kujirekodi mkiwa katika tendo la ndoa na mwenzi wako?.
Mnawezaje kupigana picha za utupu na kutumiana?.
Nini faida yake?,na wengine utakuta ni wake za watu ama wa ume za watu wakifanya hivyo kupitia simu zao...
So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].
Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.
Hakuna namna ingine ya kuweza...
Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata Wana CCM wanaokwenda kinyume naye wanavyoshughurukiwa, mtu mmoja mmoja na hata kufungwa kwa nyumba...
Tunajaribu kugombana na:
1.wasukuma kupitia kwa askofu Gwajima na Mpina .kabila hili ni hatari , umoja wao na kwa wingi wao.na sasa amekuja POLEPOLE tunaanza kumjibu kwa kejeli ? hapa tunakosea .afadhali kunyamazi kuliko kuongea .
2.Taasisi za dini kupitia Askofu GWAJIMA na KKAM ,na TEC ...
https://youtu.be/pbWyJh60zWk?si=arsKsXtmfdkBEJf-
Huyu mzee amewahi kuwa kiongozi Mwandamizi wa serikali ktk awamu za u Rais wa Nyerere, Mzee Mwinyi na mpaka awamu ya Mkapa na anachokisema hapa ni wazi anakijua, habahatishi
Anashangaa kuwa, kuna watu (viongozi) ukiwaona wamevaa suti au kanzu...
Katika hali kama hizi ambapo miundombinu huharibika kutokana na sababu mbalimbali na kusababisha Wananchi kuingia kwenye mateso makubwa wanapokosa huduma za msingi kwa muda mrefu.
Hali hiyo huhitaji maamuzi ya haraka ya kurekebisha miundombinu bila kusubiri msukumo kutoka ngazi za juu, lakini...
Ukiachana na era ya kina KBC, Sugu before 1998 lakini era zingine za muziki wa Bongo nimefanikiwa kuziskiliza na kuishi nyakati hizo vizuri saana.
Kama kuna msanii aliyeweza kuishape rap ya Bongo basi ni Prof J. Huyu jamaa aliishi mbele ya muda. Ongelea chochote kwenye rap ambacho Prof...
Wakuu,
ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya
=======
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali duni ya uchumi ilhali bungeni wabunge wamepitisha sheria ya mafao kwa wake wa Viongozi wakuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.